Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tumieni na hivi pia
IMG-20200515-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kiboko! Mi nimekunywa 1. Ulanzi 2. Komoni 3. Gongo 4.Wanzuki 5.Bia (safari, castle lager, castle lite, kilimanjaro, balimi, eagle, heineken, prisner) 6.Pombe kali (valuer, k-vant, kiroba original, boss, double) ILA MPAKA SASA
Nakunywa safari, na balimi tu. Ulanzi nautaka ila huku nilipo haupo.
Mimi mwenyewe nimegusa izo karibu zote ila nimeona ni stick na castle lite ikiwa haipo hio basi serengeti lite au castle lager ile Charles glass.
 
Mimi sio mlevi na sijawahi kunywa kabisa.
Niliwahi kuuliza swali kwenye huuhuu uzi kuhusu hiyo K-vant! Na mshana akanijibu but i was not satisfied with his answer.
.
I've a girlfriend naishi nae mbali, mbali sana kwa mwaka tunakutana angalau once tu niseme tu ukweli she was cheating on me na nikajua more than once na nikajua but yaliisha kwa sababu ambazo hakuna ambaye angekataa.
Yeye ni mlevi na kwa mujibu wa maelezo yake akilewaga anapata ny*ege sana huyo aliyekuwa bwana ake nae ni mlevi mbwa yani analewa kuliko maelezo na ni mtu mwenye wadhifa kwenye taasisi kubwa ya gavo niliwahi kumchezeshea vitasa vya maana kwa sababu ambayo naiweka kwapani, haikupita muda rafiki wa huyu mwanamke akanifahamu kama unavyojua marafiki wakike wana snichiana sana she started liking me kwa hiyo akaniambia huwa akilewa analalwa mbele yangu i was so shocked (nilikuwa natumia mjani) ikabidi niache labda hapendi ila still aliendelea.
.
Kilichofanya niku-quote mzee wangu ni hiyo K-vant! Niliambiwa inakausha K na kweli yule dem japo ni bonge moja la mwanamke wale wanakuwaga fame kwenye mikoa yao ukienda lazima umjue ila ni mkavu sana. pia huwa mnaitumia ili kuwalewesha muwaingilie kinyume cha maumbile (she told me to do this several times and i refused) je kiongozi ni ya kweli haya? Maana anasema alikuwa ananyweshwa K-vant chupa zima bila kuchanganywa chochote.

Utaniwia radhi kwa lugha yangu najaribu kubadilika taratibu na samahani kwa andiko refu.
Demu anaepiga pombe kali hafai hata kidogo mana zile huwa zinamuhamisha kabisa na possibility ya kuzima kabisa mpaka masaa kadhaa ipo sasa akikutana bazazi apo huwezi kukuta Linda ata moja, vipi ukikagua mtandao pendwa wajuba hawajakwangua vocha? Demu atumie light pombe tu kama Reds, Desperado na Savanna izo vat kuna wahuni wanasanda ije kuwa demu kama ana survive ujue kashakuwa konki na addiction ya alcohol ni mbaya huna mtu apo kama anakata bottle nzima kubwa ya kvant kwa sisi wadau ukimix Sprit hizo na Kitu kama red bull kama chaga zina lega lega una shuka nazo.
Sema mimi demu akishalewa basi simgusi ntaenda mlaza labda awe wangu nataka afanye decision ya kuliwa akiwa na akili yake timamu then ndo ata tukilewa basi unabanjua tu
 
Wakuu kimya sana hii ni jana usiku ngoja nikachukue kreti leo nanywea home tu ebu tuchangamshe jukwaa basiii
 

Attachments

  • 20200522_231636.jpg
    20200522_231636.jpg
    147.2 KB · Views: 16

Similar Discussions

Back
Top Bottom