MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Safi sanaWakuu kimya sana hii ni jana usiku ngoja nikachukue kreti leo nanywea home tu ebu tuchangamshe jukwaa basiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanaWakuu kimya sana hii ni jana usiku ngoja nikachukue kreti leo nanywea home tu ebu tuchangamshe jukwaa basiii
Mkuu jukwaa limepoa sana au watu wamehamia kwenye uzi wa kula kimasihara? Tumsikilize RC wa mbeya basi huku tukiendelea kujifukiza
Duuh..hatari