Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,749
sio mbaya unawakilisha chamaWe kiboko! Mi nimekunywa 1. Ulanzi 2. Komoni 3. Gongo 4.Wanzuki 5.Bia (safari, castle lager, castle lite, kilimanjaro, balimi, eagle, heineken, prisner) 6.Pombe kali (valuer, k-vant, kiroba original, boss, double) ILA MPAKA SASA
Nakunywa safari, na balimi tu. Ulanzi nautaka ila huku nilipo haupo.
Kumbe nawe umeliona hilo...Sbl na tbl siku hzi wanatengeneza bia ambazo zinafilisi watu unakunywa hulewi na raha yavmtungi ulewe baada ya kugundua hlo nikahamia kwenye imported.... Guinness ni bia afu ni chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mods wameunganisha huku,kuna mtu alianzisha Uzi wa aina hiiUpi mwingine zaidi ya huu?
Jr[emoji769]
Dah ila kuna watu kweli mi wahenga ...sijaingia JF almost mwaka ..ila still Mshana Jr upo Gado huku ... Hongera sana bro .[emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji120]Dah ila kuna watu kweli mi wahenga ...sijaingia JF almost mwaka ..ila still Mshana Jr upo Gado huku ... Hongera sana bro .
Sent using Jamii Forums mobile app