SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Inapendeza.hii picha imefanya niwashe gari nikatafute munjwanga mtaani huko usiku huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapendeza.hii picha imefanya niwashe gari nikatafute munjwanga mtaani huko usiku huu
Mkuu acha nilienda kuzimua tu nikaanza kupiga bia mara changanya na kvant dah nikalala siku mbili hata kula siwezi kweli k ni k[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23]tupe ubuyu kidogo
Jr[emoji769]
Mkuu iv katibu kapoteleaga wapi simuoni kwenye hili jukwaa kabisaDah pole sana mdau[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Nshapoa mkuu saizi naenda kwa disciplineDah pole sana mdau[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Yuko busy sana naona kuna ishu anaifanyia kazi soon tutakuwa naye hapaMkuu iv katibu kapoteleaga wapi simuoni kwenye hili jukwaa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameamua kunywa sanitizer
Hahahaha, jabir hamza huyu ?