Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Nipo nchi za watu, ila nimeimiss tz kuliko maelezo, tz ndio kila kitu asiwadanganye mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo vidole😍
Huku hakuna snitch
Hatuna shida tunawapenda wote. Hata wewe ndiyo maana upo kwenye huu uzi. Barikiwa sana
Na hizi mvua zisizoisha unaeza fia ndani kwako View attachment 1307574
Mbona mnaitana wenyewe tu. Changanyikeni bana..Beatrice Popote Ulipo, Naomba Uje Tafadhali, Nina Stock kwa Ajili Yako na Nyama Nimekuchomea! [emoji17]View attachment 1306429
Sent using Jamii Forums mobile app
Breki za nyau. Hahahh juzi nimekuta mdau anajaribu kuamka lakini wapi,utelezi + pombe ilikuwa movie. Sikutaka kumrekodi kulinda heshima yake. Ni bwii bwax.