Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Kwema nipo chimbo mpya
Jirani kwema!?
Jirani kwema!?
Unakulaga vitu vya mbele mbele sana
Ulikuwa unalewa pombe gani mkuu duh.
Aksante jiraniPole jirani
Panaitwaje mbona pazuri zuri ili nije leo kumalizia weekend hapoKwema nipo chimbo mpya
Si kama hivyo anavyokunywa #CadeyVipoje vya mbele mbele jirani.
Hiyo Pisi vp mzee?Kumekucha acha nitoe lock kwa siri sana.View attachment 1201405View attachment 1201406
Mkuu Unakaribisha Bila Location?
Mbona hiyo kama keki ya chocolate.
Leo nimejikuta nimekunywa hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunywa kitu kinaitwa jagermaster. Ndani ya dakika mbili gesi kwisha.Wakuu Nimemeza hiiJana , Ya Kuondoa Gesi, Vipi Naweza Endelea na Ulabu ?View attachment 1200583
Have some respect kwa dada zenu humu.Daah kwa hizo kucha sijui papuchi itasafishwaje hapo,anyway niko nalipa kodi hapa diamond-Mwanza.
Mmh pole sana.. Serious!?Jamani walipa kodi wenzangu kuanzia Leo, no kesho sasitisha rasmi kuchangia kodi katika vituo vya kulipia kodi.
Kitu cha pili walipa kodi ukipewa lift wakati wa mishe mishe tusisachiane. Kuna MTU kanipiga 3.7M Mshana Jr kuna kitu unaweza kukifanya niweze kumjua mwizi wangu?
Kwamba haukudhamiria 😂😂Leo nimejikuta nimekunywa hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AiseeJamani walipa kodi wenzangu kuanzia Leo, no kesho sasitisha rasmi kuchangia kodi katika vituo vya kulipia kodi.
Kitu cha pili walipa kodi ukipewa lift wakati wa mishe mishe tusisachiane. Kuna MTU kanipiga 3.7M Mshana Jr kuna kitu unaweza kukifanya niweze kumjua mwizi wangu?
Umesomeka MkuuKunywa kitu kinaitwa jagermaster. Ndani ya dakika mbili gesi kwisha.
Piga toti 2 tu.View attachment 1201728