Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,812
- 870,694
- Thread starter
- #20,621
Dah.. Dada uyoo... Leo kama vyote... Vile vya kike[emoji15][emoji23]Tunalipa kodi na ndugu yangu Phenomenal womanView attachment 1196160
Dah.. Dada uyoo... Leo kama vyote... Vile vya kike[emoji15][emoji23]Tunalipa kodi na ndugu yangu Phenomenal womanView attachment 1196160
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee Umetisha sana,Big up Nakusindikiza na Wimbo Wa
Rudimental -These Days.
Enjoy!!!
Umefanya nikumbuke na kidato cha Pili Ticha mnoko alikuwa anatunabananisha na Mijiswali ya Chemistry kipindi anaingia darasani,Ukipatia swali ndio wakaa kwa kitu.
Akauliza What is Alcohol!!!
Jamaa yangu akijibu kwa viengereza vyetu vya Ugoko...
"Alcohol is liquid which make Somebody To shake or to Walk slowly."
Enjoy Deargambe!!!!!
Aisee Umetisha sana,Big up Nakusindikiza na Wimbo Wa
Rudimental -These Days.
Enjoy!!!
Umefanya nikumbuke na kidato cha Pili Ticha mnoko alikuwa anatunabananisha na Mijiswali ya Chemistry kipindi anaingia darasani,Ukipatia swali ndio wakaa kwa kitu.
Akauliza What is Alcohol!!!
Jamaa yangu akijibu kwa viengereza vyetu vya Ugoko...
"Alcohol is liquid which make Somebody To shake or to Walk slowly."
Enjoy Deargambe!!!!!
Dah.. Dada uyoo... Leo kama vyote... Vile vya kike[emoji15][emoji23]
Welcome backView attachment 1196927
Tunalewa jamani au tunategeana?
Tunategeana sana humuHongera Kwa kuendelea kutuwakilisha mkuu
Wanaita group therapy... Ni muktadha wa hii mada
Kiwanja kinaonekana kiko poaMaeneo fulani View attachment 1197135
Na uzuri wote huo bado unaficha sura mpendwa, weka mkono pembeni angalau nione jicho moja nipunguze huzuni moyoni.