Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Asante mkuu nimeamua kuendelea kunywa ili nipate saundi Kali ya kwenda kusema kwa mama watotoHahaha..pole sana mkuu
Asante mkuu nimeamua kuendelea kunywa ili nipate saundi Kali ya kwenda kusema kwa mama watotoHahaha..pole sana mkuu
Bora hata ww umefika nyumbaniNimeamka nazo, Huko home ni ugomvi tu na wifeView attachment 1194695
Hahahaha, asee hii ratiba si mchezoJ5 Karaoke 777
Alhamis Juliana
Ijumaa Governer's bar halafu sky light Buscar La Vida
Leo sijui jana Coco, Masters, East 24
ZimuaNimeamka nazo
Hahahaha duhMechoka tu.
Toka Jumatano nalewa
Shemela utakuwa Juliana Pub baadaye?J5 Karaoke 777
Alhamis Juliana
Ijumaa Governer's bar halafu sky light Buscar La Vida
Leo sijui jana Coco, Masters, East 24
Hahahaa...Daaah kweli pombe sio chai ndo nazinduka ntaenda ambia nn mama watoto na sjalala nyumbani!!!!
Atakuelewa tuuNimeamka nazo, Huko home ni ugomvi tu na wifeView attachment 1194695
Niko nazimua mkuuZimua
Mpaka sasa sjqrudi nyumbani nakula vyombo ili nikifika niweze kujiteteaHahahaa...
Wale tunaoamka sasa hivi
VzrNiko nazimua mkuu
Huu ni Upendo wa namna ya pekee, matukio yamepangiliwa vyema, Asante Mkuu🤣🤣🤣🤣Siku ya jana tulianza mapema kabisa saa 2:30 hiyo picha ya mwisho sikumbuki kilitokea nini nilijikuta nipo home saa 10:40 ndiyo na zinduka.View attachment 1193232View attachment 1193234View attachment 1193235View attachment 1193236View attachment 1193237View attachment 1193238View attachment 1193239View attachment 1193240View attachment 1193241View attachment 1193242View attachment 1193244View attachment 1193246
Hivi mdudu wa hapo Juliana yuko poa?J5 Karaoke 777
Alhamis Juliana
Ijumaa Governer's bar halafu sky light Buscar La Vida
Leo sijui jana Coco, Masters, East 24
Hahahaha, asee hii ratiba si mchezo
Shemela utakuwa Juliana Pub baadaye?