Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_9497.JPG
 
Uvumilivu umenishnda leo nadoji ofisi na hvi nimetoka lunch wala sirud kazin kazi za leo nlizifanya jana jpli home kwahyo wanisamehe tu.
Viva. Liquiddy
 
Tunalipa kodi na ndugu yangu Phenomenal womanView attachment 1196160
Aisee Umetisha sana,Big up Nakusindikiza na Wimbo Wa
Rudimental -These Days.

Enjoy!!!

Umefanya nikumbuke na kidato cha Pili Ticha mnoko alikuwa anatunabananisha na Mijiswali ya Chemistry kipindi anaingia darasani,Ukipatia swali ndio wakaa kwa kitu.

Akauliza What is Alcohol!!!

Jamaa yangu akijibu kwa viengereza vyetu vya Ugoko...
"Alcohol is liquid which make Somebody To shake or to Walk slowly."

Enjoy Deargambe!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom