Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,870
Mbezi ipiNilikua Mbezi kwa rafiki yangu.. Siku wanywaji wenzangu tukutane hapo
Hahahaha, nimefanyaje tena?Wewe huyo? Mfyuuu
Badae uje 5n(five N) mkuu kimara temboni tujumuike gud music na wineNilikua Mbezi kwa rafiki yangu.. Siku wanywaji wenzangu tukutane hapo
Mbezi ipi
Badae uje 5n(five N) mkuu kimara temboni tujumuike gud music na wine
Sijui ww mzee sema haaaah au Mbeya pazuri??Leo tulio mbeya tunakutana wapi giza likiingia??
Tupange siku tujumuikeNilikua Mbezi kwa rafiki yangu.. Siku wanywaji wenzangu tukutane hapo
Oooh sawaPale nilikwambiaga ukija mjini nitakupeleka
yes kimara ukifika tu tuwasiliane mi nitafka pale mida ya saa moja karbu tufurahiideyii mkuuKimara mkuu?
Tupange siku tujumuike
Sawa sawa mimi ntakua uko wa kumi na moja hivi saiv niko mikoaniHakika. Tuje tukutane hapa tulipe kodi
mimi ntaanzia ilomba,maeneo ya bargain pub,pembeni na peter safariPale pale majengo
Tukutane sebuleni hapo MwailubiLeo tulio mbeya tunakutana wapi giza likiingia??
tatizo pale wanapenda kujaza mabia mezani sana..hivi ni fashion maeneo yale au?Tukutane sebuleni hapo Mwailubi
Siku ya jana tulianza mapema kabisa saa 2:30 hiyo picha ya mwisho sikumbuki kilitokea nini nilijikuta nipo home saa 10:40 ndiyo na zinduka.View attachment 1193232View attachment 1193234View attachment 1193235View attachment 1193236View attachment 1193237View attachment 1193238View attachment 1193239View attachment 1193240View attachment 1193241View attachment 1193242View attachment 1193244View attachment 1193246