Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Alieko The Return-Mlimani karibu
Naona Leo watu wamepotea hamna hata mmoja anaejibuAlieko The Return-Mlimani karibu
Hawa binadamu sjui Leo wako wapi,kodi naona hailipwi kabisaAliyeko King'ole pub Mabibo matokeo au kwa binti kahenga luhanga karibu
Pato la nchi linaongezekaMdogo mdogo home now toka Ibungu Mabibo baada ya kuachana na wenzangu wanaojua faida za Pombe
aseee...wakuu k vant ni kitu kinginee
nikipiga zangu kilimanjaro kama nne,,napaua na k vant ndogo siku inakuwa nyepesiiiii uno la uzazi kama lote
Hahaha karibu kny team.aseee...wakuu k vant ni kitu kinginee
nikipiga zangu kilimanjaro kama nne,,napaua na k vant ndogo siku inakuwa nyepesiiiii uno la uzazi kama lote
Kupaua muhimu ase..maana hili baridi la kusini huku bia pekeyake hazitoshi[emoji23][emoji23][emoji23] unapaua
Kama ni ya hapo nyegezi nimepiga vyombo sana hapo,enjoy kiongozi.Wakuu niko kwenu Mwanza,aliye karibu na tema bar/hotel asogee angalau tule vyombo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kiongozi tupe mada mpya kuhusu kanda maalumu hua nafurahi sana ile maada sana
Ni ya hapo ni kwa jamaangu nikaamua kumuungishaKama ni ya hapo nyegezi nimepiga vyombo sana hapo,enjoy kiongozi.
Dah 🙆🏽♂️🙆🏽♂️