Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 359
- 200
Honda type zote ni gari imara sana na vipuri vyake ni origino. Spare zipo kila mahali kwa sasa na zaidi sana online purchasing yaani muda wa wiki 2 spare imekufikia. Vipuri bei ghari kidogo ukizingatia magari Haya ni expensive pia ni aina za magari ambayo ni economy fuel consumption class isipokuwa vimiminika vyake vingi ukiishiwa ni lazima uvipate vilivyo original ili kubadilisha. Spare zake ukizifunga ni mkataba
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app