Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
1,173
1,500
Shida kubwa zina engine ambayo ni new model zina engine ya 1AZ FSE wenyewe mnaiita d4 ndio haswaa inawachachafya na kibaya au kikubwa sana gari hizo hazina gauge ya temperature zina taa hivyo nyingi sana sana zishaua engine /unguza gasket na kupindisha cyrinder head ndio maana..na maintanenc yake sio kama ya noa sr40 zenye engine ya 3s fe
Safi sana. Respect kwako bro.

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
138,102
2,000
Ok engine yake poweful in its original condition
Fuel consumption kwa Rav 4 kidogo iko juu tofauti na gari nyingine lakini haitishi
Ishu ya tege sina hakika sana japo huwa nadhani ni shock up spring na rubber

Jr
 
M

Maguli lii

Member
26
45
Ok engine yake poweful in its original condition
Fuel consumption kwa Rav 4 kidogo iko juu tofauti na gari nyingine lakini haitishi
Ishu ya tege sina hakika sana japo huwa nadhani ni shock up spring na rubber

Jr
Nashukuru sana kaka
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
42,831
2,000
Aman iwe kwenu wadau wote humu.......... Mimi sijui chochote juu ya magari lakin nategemea kumiliki gari siku za usoni..........


Naomba kuelimishwa yafuatayo :

1) mpangilio wa plate number ya gari Tanzania {kuniwezesha kuitambua gari na mengineyo}

2)Nikitaka kununu gari iwe kwa mtu au show Room nizingatie nn? {mambo muhimu}

3) Baada ya kuinunua maswala ya kisheria au utaratibu ukoje!?

4)Maintainance ikoje!?

5)kwenye maswala ya injin huwa nasikia tu CC...mara 4/6 cylinder (sielewi) manake nn!?

6)Nikitaka kununua gar imara ya kisasa ni nunue ipi (mfano nahitaji yenye sehem ya mizigo na double cabin, nyingine ya kutembelea tu)

7) kile kifaa cha kufanyia diagnosis kwenye gar kinaitwaje na kinauzwa bei gan!??

ASANTENI SANAA.......


Karibuni pia kujielimisha......
HILI SWALI NASUBIRIA MAJIBU YAKE PIA MIMI
 

Forum statistics


Threads
1,425,153

Messages
35,082,647

Members
538,214
Top Bottom