Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
111,974
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
111,974 2,000
Jerhy

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Messages
3,149
Points
1,500
Jerhy

Jerhy

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2013
3,149 1,500
wakuu naomba kujua kuhusu ii gari kabla sijanunua honda accord 2000 uk version, upatikanaji wake wa spear , fuel consuption na magonjwa yake unaweza
nisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Honda type zote ni gari imara sana na vipuri vyake ni origino. Spare zipo kila mahali kwa sasa na zaidi sana online purchasing yaani muda wa wiki 2 spare imekufikia. Vipuri bei ghari kidogo ukizingatia magari Haya ni expensive pia ni aina za magari ambayo ni economy fuel consumption class isipokuwa vimiminika vyake vingi ukiishiwa ni lazima uvipate vilivyo original ili kubadilisha. Spare zake ukizifunga ni mkatabaSent using Jamii Forums mobile app
 
Emmanuel S Jonathan

Emmanuel S Jonathan

Verified Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
157
Points
225
Emmanuel S Jonathan

Emmanuel S Jonathan

Verified Member
Joined Jul 11, 2015
157 225
Honda type zote ni gari imara sana na vipuri vyake ni origino. Spare zipo kila mahali kwa sasa na zaidi sana online purchasing yaani muda wa wiki 2 spare imekufikia. Vipuri bei ghari kidogo ukizingatia magari Haya ni expensive pia ni aina za magari ambayo ni economy fuel consumption class isipokuwa vimiminika vyake vingi ukiishiwa ni lazima uvipate vilivyo original ili kubadilisha. Spare zake ukizifunga ni mkatabaSent using Jamii Forums mobile app
shukrani sana mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerhy

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Messages
3,149
Points
1,500
Jerhy

Jerhy

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2013
3,149 1,500
N

Ngarenaro Babati

Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
10
Points
45
N

Ngarenaro Babati

Member
Joined Feb 12, 2018
10 45
Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari Toyota town ace pickup nimesika kwamba kuna inayotumia petrol nakuna ya diesel pia. ipi nibora naombeni ushauri wenu plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emmanuel S Jonathan

Emmanuel S Jonathan

Verified Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
157
Points
225
Emmanuel S Jonathan

Emmanuel S Jonathan

Verified Member
Joined Jul 11, 2015
157 225
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
1,901
Points
1,250
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
1,901 1,250
Natafuta fundi mtaalam wa Nissan Murano na Toyota Prado. Niko Dar. Anaweza kunichek 0763 788 000
 
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
1,901
Points
1,250
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
1,901 1,250
Karibu sana mkuu JO AUTO TECH tujifunze wote mm mwenyewe ni mwanafunzi siunajua vile technologia kila siku inakuwa na elimu haina mwisho..so njoo tujifunze kwa pamoja .kama upo dar es salaam karibu sana mwenge
Mkuu hii gereji iko sehemu gani? Ungeweka na namba ya simu ili iwe rahisi kuwasiliana
 
C

curia

Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
99
Points
95
C

curia

Member
Joined Sep 26, 2013
99 95
Wataalam was tairi nisaidieni je, ni salama kubadilisha size ya tairi kutoka 185/65r15 kwenda 195/65r15?
 
MTINGIJOLI

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
763
Points
1,000
MTINGIJOLI

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
763 1,000
Wadau Habari Za Jioni, Gari Yangu Ni Toyota Alphard, Tangu Nimeigiza haina Hata Mwezi, Leo Ghafla tu Kila Nikiwasha Ac Insletea hewa Isioeleweka, Joto Si Joto, Kiukweli Imeninyima Raha hii, Ukizingatia Mimi Mazingira Ya Joto la Dar Sijayazoea, & then Mimi Huku ni Mgeni, Sina Connection Yoyote
 

Forum statistics

Threads 1,304,693
Members 501,503
Posts 31,523,358
Top