Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

born again pagan

born again pagan

JF-Expert Member
2,150
2,000
Wakuu habari za kazi
Naombeni ushauri jamani... Mimi natumia gari Aina ya Toyota Mark II Grande yenyewe engine ya 1G-fe vvti.
Je nitumie aina gani nzuri ya nozzle? Ni denso au NGK? pia nozzle gani ni recommended, ni single spark au double?

Asanteni in advance
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
138,080

CC : LEGE

Jr
 
M

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
1,009
2,000
Gari ikishakuwa na shida yakupasa kuwa makini sana hata ukifika kwa fundi ukamwambia gari yangu kupandisha mliman inasumbua unaweza kuanza kutengeneza kitu ambacho sio kibovu haswaa sehem ulipo peleka pasiwe na mlima..na hapa wengi huwa wanachanganya kati ya gearbox na shida kwenye engine..engine ikiwa parformance yake mbaya basi hata gia haitobadili vizuri au hutoweza pata ile power yenyewe..lkn engine ikiwa powa ni rahisi kugundua ugonjwa kama ni gearbox..

Tukiludi kwenye mada husika.ili tusiumize kichwa sana kama gari ipo hapa mjini mm nakupa OFA ya kukupima bureee kabisa kama member wa JF ukifika na gari mwenge ofisin lkn kama utataka nikufuate utagaramikia nauli yangu tuuu basi ya kutoka mwenge na kunirudisha mwenge.. nakupimia buree..

Lkn kama utakuwa nje ya mkoa wa dar hakija haribika kitu pia nitakusaidia kukuelekeza ikiwezekana kwa whatsapp video call jinsi ya kufanya ili uipime manually fault code na mm nitakusomea na kukwambia gari yako inashida gani..buree kabisa..
Japo offer umempa mdau...lakin kwakuwa hata mbwa hula kinachodondoka kutoka meza ya bwana wake.....mie kesho na mapema.....hadi gereji kwako!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
5,107
2,000
Wakuu habari za kazi
Naombeni ushauri jamani... Mimi natumia gari Aina ya Toyota Mark II Grande yenyewe engine ya 1G-fe vvti.
Je nitumie aina gani nzuri ya nozzle? Ni denso au NGK? pia nozzle gani ni recommended, ni single spark au double?

Asanteni in advance
Bila shaka mkuu wataka kusema spark plug.

Mkuu kuku kuku jogoo jina tuu.. ni hivi NGK sijui DENSO hayo ni majina au makampuni yakutengeneza plug lkn kwako ww cha mhim na msingi ni specification za plug inayofaa kwenye gari yako..kwenye spark plug huwa kuna kuwa na namba na herufi hizo ndio za maana zaidi na ndio zinabeba sifa ya plug husika..

Kwahiyo ww ukitaka ingia google ingiza aina ya engine yako utapata plug husika zinazotakiwa kufungwa kwenye gari yako..

Mfano spark plug for 1G-FE .

Kwa hapa mjini dar es salaam duka ni moja tuu liuzalo spare original mm ninalolifaham ni SINZA kwa mama.
 
Asante sana mkuu,pia ni kweli nazungumzia kwa habari za spark plug na sio nozzles.
 
M

Maguli lii

Member
26
45
Asante sana mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
pole na kazi za leo... nipe muongozo.. nataka kununua gari rav4 old model ina engine ya 3s ...kutoka kwa mtu.... Maswali yangu ni
1.Engine hii inashida gani
2.Ulaji wake wa mafuta ukoje kwa lita /km
3.Matege yakitokea ama kuwapo yanaweza rekebishwa km ndyo bei yake ikoje?

Asante kwa msaada utakaonipa.
 
Karne

Karne

JF-Expert Member
3,925
2,000
Noah new model zina shida gani? Naona zinauzwa sana tena kwa bei chini tu kama ilivyo kwa Xtrail? Sijaona hata moja ikiuzwa 10M+ ilhali namba ni latest D
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
138,080
2,000
Noah new model zina shida gani? Naona zinauzwa sana tena kwa bei chini tu kama ilivyo kwa Xtrail? Sijaona hata moja ikiuzwa 10M+ ilhali namba ni latest D
Hali ya uchumi lakini pia si ngumu kama SR40 na Tourer

Jr
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
5,107
2,000
Hilo la uimara naona ndio point ya msingi. Ndio maana hadi leo bei ya SR40 bado ipo juu, hata showroom

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
Shida kubwa zina engine ambayo ni new model zina engine ya 1AZ FSE wenyewe mnaiita d4 ndio haswaa inawachachafya na kibaya au kikubwa sana gari hizo hazina gauge ya temperature zina taa hivyo nyingi sana sana zishaua engine /unguza gasket na kupindisha cyrinder head ndio maana..na maintanenc yake sio kama ya noa sr40 zenye engine ya 3s fe
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom