Sorry ni swali gani nikumbushe
Jr
Nashukuru sana kakaOk engine yake poweful in its original condition
Fuel consumption kwa Rav 4 kidogo iko juu tofauti na gari nyingine lakini haitishi
Ishu ya tege sina hakika sana japo huwa nadhani ni shock up spring na rubber
Jr
HILI SWALI NASUBIRIA MAJIBU YAKE PIA MIMIAman iwe kwenu wadau wote humu.......... Mimi sijui chochote juu ya magari lakin nategemea kumiliki gari siku za usoni..........
Naomba kuelimishwa yafuatayo :
1) mpangilio wa plate number ya gari Tanzania {kuniwezesha kuitambua gari na mengineyo}
2)Nikitaka kununu gari iwe kwa mtu au show Room nizingatie nn? {mambo muhimu}
3) Baada ya kuinunua maswala ya kisheria au utaratibu ukoje!?
4)Maintainance ikoje!?
5)kwenye maswala ya injin huwa nasikia tu CC...mara 4/6 cylinder (sielewi) manake nn!?
6)Nikitaka kununua gar imara ya kisasa ni nunue ipi (mfano nahitaji yenye sehem ya mizigo na double cabin, nyingine ya kutembelea tu)
7) kile kifaa cha kufanyia diagnosis kwenye gar kinaitwaje na kinauzwa bei gan!??
ASANTENI SANAA.......
Karibuni pia kujielimisha......
Asante sana vipi ukilinganisha na engine 1 AZR-FSE na 3ZR Ipi iko nafuu kwa uimara na rahisi kutengenezwa hapa nchini.Liteace ni engine bora kuliko hizo nyingine zote
Jr
Yes bado iko njemaAsante sana vipi ukilinganisha na engine 1 AZR-FSE na 3ZR Ipi iko nafuu kwa uimara na rahisi kutengenezwa hapa nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko vizuri shida vipuri tu bei kidogo imechangamkaHebu tupe elim ya subaru foresta yenye turbo ya kuanzia mwaka 2003 hadi 2006 .ili nikihamia huko nisijikute najutaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mzoefu sana wa hizi gari lakini niliwahi kutumia RD 5 iko bomba sanawakuu naomba kujua kuhusu ii gari kabla sijanunua honda accord 2000 uk version, upatikanaji wake wa spear , fuel consuption na magonjwa yake unaweza
nisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Honda type zote ni gari imara sana na vipuri vyake ni origino. Spare zipo kila mahali kwa sasa na zaidi sana online purchasing yaani muda wa wiki 2 spare imekufikia. Vipuri bei ghari kidogo ukizingatia magari Haya ni expensive pia ni aina za magari ambayo ni economy fuel consumption class isipokuwa vimiminika vyake vingi ukiishiwa ni lazima uvipate vilivyo original ili kubadilisha. Spare zake ukizifunga ni mkatabawakuu naomba kujua kuhusu ii gari kabla sijanunua honda accord 2000 uk version, upatikanaji wake wa spear , fuel consuption na magonjwa yake unaweza
nisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app