Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,012
Likes
5,688
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,012 5,688 280
n
Ahsante kwa ushauri wako ndugu,
kifupi nami ni mechanics
ila lengo nijiongeze na kwenye web ili inisaidie zaidi,
maana kuna siku nilifungua Filters za Benz moja hivi ni Actros 963-4D
sasa ilikuwa inshu kuachanisha mfunuko wake hiyo filter, na ukiandika youtube wanaleta sivyo,
ndo maana nikaomba msaada kwenu.
Ohooooo basi haina shida ni shakusoma mkuu na shida yako ishatatulika website zipo nyingi sana ..lkn wacha nikudondoshee 1. Duniani MHH AUTO.COM 2.CARTECHNOLOGY.COM 3.DIGITAL KAOS.

Mkuu humo utapata zaidi ya ulichokuwa unataka uzuri wa humo kama unashida ukiomba msaada wenzetu ni watu wa aina ya tofauti sana yaani ww ndio utasumbuliwa mwenye shida mpaka utashangaa..wwnapenda sana akikuelekeza kitu afike mpaka mwisho ajue kama solution yake imefaa au laa..
 
B

bdo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Messages
5,758
Likes
1,656
Points
280
B

bdo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2006
5,758 1,656 280
Mkuu vipi gari jamaa yako ashailekebisha ..kwaharaka haraka hapo hizo taa zingine achana nazo bali taa yakuizingatia hapo ni chek engine peke yake na hiyo ndio itakupa mwongozo mzima..shida iko wapi.

Hapo kwa uharaka kwa kuwa taa inawaka basi weka mashine itakupa shida ni nn..

Au kama mashine hakuna basi waweza kupima manually na ukapata jibu lile lile sahihi sawa na lamashine..

Kwangu mm hapo hasa jaribu kuangalia petrol filter maana kama ni rav 4 ile inayotumia fuel pump ndogo ndogo huwa inazingua sana kuanzia kwenye filter ya pump na ile filter kubwa na kama gari ishawahi shushwa tank yawezekana pipe ya mafuta ndani ya tank imepinda au ina likage vyote yawezekana..
Mkuu yaani unaumiza kichwa na gari yenye jina la TOYOTA naombeni home work zote ngumu za toyota nipewe colabo mm kwa ugonjwa wowote ule maana nishazifuta kwenye ulimwengu wa kiusumbufu..sijasoma toka mwanzo lkn kwa maelezo yako hayo nishakutana na ugonjwa huo wa kuzima zima kwa rav 4 hiyo..na taa ya vsc na trc / ile ya utelezi inawaka nilipambana nayo ikatulia kuzima zima ishu ikabakia kwenye hizo taa na kama inasoma fault ya communication solution yake ipo..
Nimejaribu kuangalia tena.
Wanadai vsc na 4wd light zinawaka as a prevention measure(system inadisactivate 4wd na vsc) ili kuzuia uharibifu mkubwa zaidi kwenye gari, i.e hamna shida kwenye vsc na 4wd ila zipo inactive kwa usalama zaidi.Hivyo nimejaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo la 'kustall' na kwenye forums nimekuta:

  1. inaweza kuwa ignition coil mbovu Rav4 Keeps Stalling [solved] - Toyota RAV4 Forums au
  2. loose hose 2006-2012 Toyota RAV4 Hose Check 2007 Toyota RAV4 3.5L V6 au
  3. loose "press Fitting" View attachment 943747
Toyota RAV4 Questions - The check engine, VSC, and 4WD lights keep coming on at the same time.... - CarGurus
Hebu pia acheki fuel pump huenda imeshafeli tayari.
Kiongozi Asante Kwa msaada wako, nitamwambia jamaa yangu afutilie na kufanya hayo maelekezo ya YouTube, then nitarudisha feedback, Asante Kwa links nzuri, zimeongeza ufahamu mwingi kuhusu kuwaka Kwa taa kwenye dashboard na namna ya kuziondoa.

*Ila sina uhakika/ sifahamu iwapo Kuna uhusiano kati ya taa kuwaka Kwa taa na kuzima Kwa gari ama gari kugoma kuchanganya speed hasa kwenye mwinuko au Ukiwa kwenye foleni*

Aidha Asante Kwa kushare hio link ya RAV4 , inaonekana hizi RAV4 za miss Tanzania za kuanzia 2006 zina hili Tatizo la taa kuwaka na kukosa nguvu za kutembea/ kuzima, nadhani Hii ni fursa Kwa Mafundi wetu kubaini solution ya hili Tatizo ili waweze kusaidia wakati huo huo wakijiongezea kipato.
Wakubwa Habari

Gari ya jamaa yangu ana gari RAV4 miss Tanzania, ambayo ni automatic transmission (sio manual), akipiga moto gari yake (hasa kwenye mlima) inastuck, inakuwa kama inagoma kupanda, hivyo anakuwa anakanyanga mafuta Kwa kuvizia vizia , akikanyaga mafuta sana (mlimani) gari inakuwa nzito, inagoma kwenda na hata kuzima, ikishazima akiwasha inaweza isiwake, mpaka ikae Kwa muda Ndio akiwasha inawaka na anaanza safari.

Aidha, gari likienda Mwendo mrefu, mfano 50km huanza kuonyesha taa za check engine, VSC na 4wd endapo ataendelea kuendesha gari litakosa nguvu/ litaanza kuonyesha kugoma kwenda - kama nilivyoeleza hapo juu, na wakati mwingine Ukiwa kwenye foleni ya muda mrefu gari huanza kuwasha taa zoote kwenye dashboard na hata kuzima, and kama halijazima ukikanyaga mafuta litaanza Mwendo Kwa shida Sana na kuchanganya taratibu

Au, iwapo litazima ikitaka kuwasha litashindwa kupiga starter, itabidi ukae kama nusu saa hivi na ukiwasha litawaka utaendelea na safari yako kwa umbali wa hata km 20 then Tatizo kusita kwenda speed linaanza tena.

Je Tatizo ni nini, ?
Wakubwa heshima kwenu

Napenda kutoa mrejesho wa changamoto ya gari RAV4 Kama nilivyowasilisha hapa, napenda kushukuru kuwa tatizo limetatuliwa, namshukuru Sana ndg yetu LEGE ambaye alijitolea na kufix Tatizo hilo, kilichoonekana Kama Tatizo ni mfumo wa mafuta, fuel pump na chujio lake, na nozel vilikuwa vimejaa uchavu, vumbi na takataka kibao, hivyo Mafundi walifungua tank, fuel pump, chujio na nozel na kusafishwa ipasavyo, Kwa sasa napenda kusema kuwa gari ipo vzr kabisa inapiga na kuongeza Mwendo bila kusita na bila wasiwasi wowote.

Nachukua fursa Hii kutoa shukrani za dhati Kwa ndg LEGE na wadau wote wa hii thread , mchango wenu umefanikisha kutatua changamoto iliyokuwa inasumbua.
Asanteni
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,012
Likes
5,688
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,012 5,688 280
Msaada wa kuidhibiti hii taa nifanyaje
Ni Truck mercedes benz actros
Mkuu kuidhibiti hiyo ni rahisi na nikazi ngumu kweli kweli?? Ww upo wapi ?? Mkoa gani?? Kama upo dar es salaam mm nitakusaidia kukupimia kwa bei rahisi tuu ya karibia na bure kwa kugaramikia nauli ya boda kutoka mwenge mpaka ulipo na kunirudisha mwenge.. au kama unaweza basi tafuta mtu mwenye C4 or C3 or C5 au mashine nyingine yoyote ile kisha ipime then utajua tatizo ni nn then ndio ulekebishe hilo tatizo mambo yatakwenda fresh.
 
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
3,116
Likes
8,320
Points
280
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
3,116 8,320 280
Wakubwa heshima kwenu

Napenda kutoa mrejesho wa changamoto ya gari RAV4 Kama nilivyowasilisha hapa, napenda kushukuru kuwa tatizo limetatuliwa, namshukuru Sana ndg yetu LEGE ambaye alijitolea na kufix Tatizo hilo, kilichoonekana Kama Tatizo ni mfumo wa mafuta, fuel pump na chujio lake, na nozel vilikuwa vimejaa uchavu, vumbi na takataka kibao, hivyo Mafundi walifungua tank, fuel pump, chujio na nozel na kusafishwa ipasavyo, Kwa sasa napenda kusema kuwa gari ipo vzr kabisa inapiga na kuongeza Mwendo bila kusita na bila wasiwasi wowote.

Nachukua fursa Hii kutoa shukrani za dhati Kwa ndg LEGE na wadau wote wa hii thread , mchango wenu umefanikisha kutatua changamoto iliyokuwa inasumbua.
Asanteni
Habari njema hii.

Ahsante kwa mrejesho mkuu.
 
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
228
Likes
104
Points
60
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
228 104 60
Aman iwe kwenu wadau wote humu.......... Mimi sijui chochote juu ya magari lakin nategemea kumiliki gari siku za usoni..........

Naomba kuelimishwa yafuatayo :

1) mpangilio wa plate number ya gari Tanzania {kuniwezesha kuitambua gari na mengineyo}

2)Nikitaka kununu gari iwe kwa mtu au show Room nizingatie nn? {mambo muhimu}

3) Baada ya kuinunua maswala ya kisheria au utaratibu ukoje!?

4)Maintainance ikoje!?

5)kwenye maswala ya injin huwa nasikia tu CC...mara 4/6 cylinder (sielewi) manake nn!?

6)Nikitaka kununua gar imara ya kisasa ni nunue ipi (mfano nahitaji yenye sehem ya mizigo na double cabin, nyingine ya kutembelea tu)

7) kile kifaa cha kufanyia diagnosis kwenye gar kinaitwaje na kinauzwa bei gan!??

ASANTENI SANAA.......

Karibuni pia kujielimisha......
 
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
1,119
Likes
279
Points
180
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
1,119 279 180
Ni ngum sana kitu unachokitafuta na ugumu wenyewe hasa kwenye maandishi yako mm binafsi ningeweza kukusaidia lkn sijajua maana au hitaji lako..kwanza hujasema unataka ujue kutengeneza nn?? Harafu ufundio sio rahisi kama ww unavyofikilia.yaani kama hufaham lolote lilee yaani wataka ufundishwe au ujifunze kwenye website achana na wazo hilo hutoweza fanikiwa au itakubidi utumie njia ndefu na mda mwingi kwa siku nyingi.vitu utakavyo jifunza mwezi mzima na mtu atakaye kuwa gereji atavifaham kwa dakika chache..

Mfano cylinder head vitu vyake ww utasoma mwezi mzima na itatakiwa utafute video zake uangalie lkn kwa mtu wa gereji ni siku moja tuu tena dk chache anavifaham.ndio maana ukimchukua kijana ukampeleka shule ya ufundi akasomea miaka mi3 na ukaja ukamchukua kijana mwingine ukampeleka gereji mwaka mmoja ..yule wa gereji anakuwa fundi full na anafaham vitu vingi zaidi ya yule wa shuleni.
Mkuu mie nipo tayari kuwa mwanafunzi wako mtiifu. Nina strong passion na magari aisee
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,012
Likes
5,688
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,012 5,688 280
Mkuu mie nipo tayari kuwa mwanafunzi wako mtiifu. Nina strong passion na magari aisee
Karibu sana mkuu JO AUTO TECH tujifunze wote mm mwenyewe ni mwanafunzi siunajua vile technologia kila siku inakuwa na elimu haina mwisho..so njoo tujifunze kwa pamoja .kama upo dar es salaam karibu sana mwenge
 
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
1,119
Likes
279
Points
180
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
1,119 279 180
Karibu sana mkuu JO AUTO TECH tujifunze wote mm mwenyewe ni mwanafunzi siunajua vile technologia kila siku inakuwa na elimu haina mwisho..so njoo tujifunze kwa pamoja .kama upo dar es salaam karibu sana mwenge
Nipo Dar mkuu. For sure nitakuja
 
Abuu Ibrah

Abuu Ibrah

Senior Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
126
Likes
12
Points
35
Abuu Ibrah

Abuu Ibrah

Senior Member
Joined Sep 3, 2014
126 12 35
Mkuu kuidhibiti hiyo ni rahisi na nikazi ngumu kweli kweli?? Ww upo wapi ?? Mkoa gani?? Kama upo dar es salaam mm nitakusaidia kukupimia kwa bei rahisi tuu ya karibia na bure kwa kugaramikia nauli ya boda kutoka mwenge mpaka ulipo na kunirudisha mwenge.. au kama unaweza basi tafuta mtu mwenye C4 or C3 or C5 au mashine nyingine yoyote ile kisha ipime then utajua tatizo ni nn then ndio ulekebishe hilo tatizo mambo yatakwenda fresh.
Nimekusoma, na ntakutafuta soon tu
 
Abuu Ibrah

Abuu Ibrah

Senior Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
126
Likes
12
Points
35
Abuu Ibrah

Abuu Ibrah

Senior Member
Joined Sep 3, 2014
126 12 35
n

Ohooooo basi haina shida ni shakusoma mkuu na shida yako ishatatulika website zipo nyingi sana ..lkn wacha nikudondoshee 1. Duniani MHH AUTO.COM 2.CARTECHNOLOGY.COM 3.DIGITAL KAOS.

Mkuu humo utapata zaidi ya ulichokuwa unataka uzuri wa humo kama unashida ukiomba msaada wenzetu ni watu wa aina ya tofauti sana yaani ww ndio utasumbuliwa mwenye shida mpaka utashangaa..wwnapenda sana akikuelekeza kitu afike mpaka mwisho ajue kama solution yake imefaa au laa..
Lege Ofisi iko sehemu gani nikutembelee, nami nipo hapa Dar, Mbagala ndo naishi.
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
248
Likes
17
Points
35
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
248 17 35
BREKI KUVUTA UPANDE
Wadau naomba kujua tatizo ninini, gari aina ya nissan vannete ukishika breki inavuta kushoto kiasi kwamba ukiwa na speed zaidi ya 80 inaweza kuanguka, nimejaribu kupuliza zile pipe za mafuta kuona kama zimeziba lkn ziko sawa nikabadilisha master sillinder ya breki lakin shida bado ipo, na zaidi ukikanyaga mara mbili au tatu haivuti, ukiishia moja inavuta na pia inakuwa ngumu sana, naomba ushauri wenu.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,473
Likes
124,893
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,473 124,893 280
BREKI KUVUTA UPANDE
Wadau naomba kujua tatizo ninini, gari aina ya nissan vannete ukishika breki inavuta kushoto kiasi kwamba ukiwa na speed zaidi ya 80 inaweza kuanguka, nimejaribu kupuliza zile pipe za mafuta kuona kama zimeziba lkn ziko sawa nikabadilisha master sillinder ya breki lakin shida bado ipo, na zaidi ukikanyaga mara mbili au tatu haivuti, ukiishia moja inavuta na pia inakuwa ngumu sana, naomba ushauri wenu.
Mmh hapa kuepuka guess works nashauri ukacheki kwa kutumia computer
 
chuse tbr

chuse tbr

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
372
Likes
314
Points
80
Age
30
chuse tbr

chuse tbr

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
372 314 80
Wadau nimevutiwa sana na Landrover Discovery 3, diesel engine, naomba ushauri wenu hasa kwa mazingira yetu ya hapa Tanzania, nataka kuagiza kutokea South Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
1,119
Likes
279
Points
180
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
1,119 279 180
Hivi wadau inawezekana kubadili mfumo wa gari kutoka automatic kwenda manual?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa 100%. Tafuta gear box ya gari model husika, funga. Usijaribu kunjunga ie gear box itayolazimu modifications za aina yeyote
 
Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538