mpumalangablackaces
Member
- Jun 22, 2017
- 6
- 1
Wakati mwingine huwa naonejana mgeni nikifika kkoo matangazo yakila aina asee huwa nashindwa kujizuia maana bongo hii kwa matangazo tu hatujambo
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
ni kweli mkuuHahaaa. Kwa sababu tu hata siwawezi kwa kweli.Unajua tukikutana nanyi kitu cha kwanza kukuvuta ni face/reception. Ikiwa face ipo nzuri, lazima inakuvuta kutaka kuangalia na nyuma mzigo upo?
Lkn kama face imekaa kama mwanaume/mbaya utaona hakuna mwanaume atakayegeuka kusoma tangazo/chura. Anachapa lapa tu mbele kwa mbele![]()
![]()
![]()
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kuwa na amani mama hata ww ni mzuri, unaipamba vizuri dunia.Hata kama aisee. Kiwango chenu cha kugeuka ni cha hali ya juu mpaka tusio na mizigo tunakosa amani.
Usijali unaweza kuwa una mvuto mwingine cyo lazima mzigo tu. Hata face km ninavyoiona ktk profile yako hiyoHata kama aisee. Kiwango chenu cha kugeuka ni cha hali ya juu mpaka tusio na mizigo tunakosa amani.
Kuwa na amani mama hata ww ni mzuri, unaipamba vizuri dunia.
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Usijali unaweza kuwa una mvuto mwingine cyo lazima mzigo tu. Hata face km ninavyoiona ktk profile yako hiyo![]()
![]()
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Unawaonaga wakatigani??, kama niwakati umepita akageuka kukuangalia??Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Tungekuwa tunaongea wenyewe kama wehuWacha weee. Sio mngeshaizowea hali.
Unawaonaga wakatigani??, kama niwakati umepita akageuka kukuangalia??
Kama ndio" basi na wewe uligeuka kumuangalia otherwise usingejua kama anakuangalia.
So, hapo ngoma droo mwana mme na wewe, wote shingo feni.
Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee. Isingekuwa sehemu salama kwa kweli.Tungekuwa tunaongea wenyewe kama wehu