Machawa wa Zanzibar wanamwita Makamu Yuda!

Machawa wa Zanzibar wanamwita Makamu Yuda!

Tumesikia wanzanzibari wakimwita makamu wa Raisi Yuda na eti ana jipendekeza kwa kivuli cha marehemu Magufuli. Lakini wanasema Magufuli alimpeleka nchi za mbali.

Sasa uyuda ni kupinga utekaji na wizi wa kura?
Tutachukua hatua madhubuti huku sasa nikushikwa kalio
 
Kwa hiyo kuna chawa wa kizanzibari na kitanganyika?
 
Kwa hiyo mtu akipinga maovu ya utawala haramu wa Wazanzibar dhidi ya Tanganyika - utekaji, ufiraji, mauaji, ufisadi, wizi wa rasilimali, nk anakuwa Yuda??
Ila huyo Yuda hajatajwa jina, kwanini tunabashiri?
 
Tumesikia wanzanzibari wakimwita makamu wa Raisi Yuda na eti ana jipendekeza kwa kivuli cha marehemu Magufuli. Lakini wanasema Magufuli alimpeleka nchi za mbali.

Sasa uyuda ni kupinga utekaji na wizi wa kura?
Kwanini wasisema wanaisaliti Tanganyika a.k.a wamekuwa Yuda wa Tanganyika!
 
Huyu bwana ilitakiwa baada ya bunge kuisha tu angekamatwa, anyang'anywe passport alafu;
Apelekwe kwenye kamati ahojiwe, aeleze vizuri kama ni kweli ama alikuwa anatania, apimwe afya ya akili, apimwe kilevi kama alikuwa amelewa au la, simu yake ichunguze sauti za mawasiliano na meseji kwa wiki 3 nyuma alizokuwa anafanya mawasiliano, ndipo sakata lake lianze kusikiliza kwa uzito mkubwa. Huwezi kuita yuda kiongozi wetu tena mbele ya bunge kabisa..ukatoa tuhuma nzito kiasi hicho na ukahusisha na Kanisa kabisa🙁. Mm yule bwana asingerudi Zanzibar kwao..angebakia bara ili aeleze vizuri hiyo stori yake
 
Back
Top Bottom