Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Maku kubu limbi....hapo huwezi sikia kesi za ubakaji kamwe..........ukiwa na pungufu unaongea....
 
Mwengine huyu nina wasiwasi ameshaungua tayali.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-19-00-33-01.png
    Screenshot_2017-04-19-00-33-01.png
    282.2 KB · Views: 241
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Kalio la sufuria haligopagi moto
 
Hivi bado hii biashara ipo?? kwetu Arusha nafikiri wenye biashara hizi weshafilisika siku nyiingi wanadaiwa na TRA
acha uongo wewe Arusha ndio wameongezeka sana nenda maeneo ya shiverz na mrina wamejaa balaa
 
Back
Top Bottom