Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Tumekwisha
Hawa si ndio kama waleSasa wewe Kama huuogopi huo ukimwi yeye ataogopaje??
Heshima Mkuu!Wakiuza mbwimbwi kwa 100,000/= mtasema ooooh bei juu bora niende ifm, haya sasa hivi 2,000/= mnasema wanauza ukimwi bei chee.......ikumbukwe hiyo ni kazi kama bank teller au communication officers tu.
Haina gharama kubwa.buku tano v3 bila chengaaaaa
AtakiMYOB ..... Mind Your Own Business please. Ukizijua Wewe zitakusaidia nini Mkuu? Zipo 15 kama siyo 20 hivi na ukitaka nikuazime moja wapo sema tu Mkuu.
Luka 7:36-50Heshima Mkuu!
Uchangudoa si kazi kama bank teller wala communication officer kama ulivyoiita.Ni chukizo mbele za MUNGU na adhabu yake ni motoni (Nb;kwa wanaoamini).
Hujawahi kujiuliza kuwa ni kwanini hairasimishwi?.Kwanini hawalipi kodi?. nk?.
na wengineoHeshima boss!
Mmekwisha na nani tena Mkuu?.
And you go with him/herThen let him / her go to hell!
teh teh we naweTUSIPANGIANE **** SIO YA KWAKO NA WALA HAINA ODOMETER PIA HATUNUNULIANI PEDI WALA LUKU.
Kapima...
Una uhakika gani kama huo UKIMWI haupo na Nyumbani Kwako Mkuu?
Wanaume wa daisalam utawajua tu.hivi kwanza mtu unawezaje kulala na changudoa?
Huo ujasiri mnautolea wapi?
Mkuu ni kweli. Na unaweza kukuta mkeo nae anachepuka tena kavu kavu kisha nawe anakupa kavu kavu. Eewe Mwenyezi MUNGU tulinde viumbe wako tusiojitambua.Wanaume wa daisalam utawajua tu.
"Changudoa" ni jina la biashara!!
Bidhaa yenyewe ni mwanamke!!!!! Anamaumbile kama mkeo wa ndoa, wengine wana mvuto kumzidi my wife wako.