ambaga1717
Member
- Apr 4, 2017
- 85
- 32
uvuvi wa kutongoza unawaponza
UvivuUvuvi wa kutongoza unawaponza
mkuu huwa naogopa kugombana na wewe. una tabia za nyuki ugomvi kidogo uvimbe mkubwa
Akikujibu nitag mkuu..Una uhakika gani kama huo UKIMWI haupo na Nyumbani Kwako Mkuu?
Changudoa si jina tu! Akivua chupi hana alama ya uchangu![emoji106]hivi kwanza mtu unawezaje kulala na changudoa?
Huo ujasiri mnautolea wapi?
Usalama wao ni mdogo,sasa mtu kuuza mwili ndio kazi yake na hachagui wa kulala naye kikubwa tu uwe na helaChangudoa si jina tu! Akivua chupi hana alama ya uchangu![emoji106]
Duh!!!teh ndio ndugu yangu na hili shimo Mungu alinipa SareSare na Mama yako.
Ila tu la MamaYako limezeeka sana Langu bado jipya
Msitupotoshe nendeni mkafe kivyenuWakiuza mbwimbwi kwa 100,000/= mtasema ooooh bei juu bora niende ifm, haya sasa hivi 2,000/= mnasema wanauza ukimwi bei chee.......ikumbukwe hiyo ni kazi kama bank teller au communication officers tu.
unauza dadaTUSIPANGIANE **** SIO YA KWAKO NA WALA HAINA ODOMETER PIA HATUNUNULIANI PEDI WALA LUKU.
unauza dada
wanafanya nn wanafagia auAisee hapo mori guest wamejaza hiyo gesti, ukiingia humo ndani wanakugombania kama vile wanakujua, bora uingie Chumba No. 006 ndo mstaarabu kidogo
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Akili Kichwani Mwako. Umeshawai Kufika Majiji ya Ulaya Kama Amsterdam Uholanzi na Stutgart?? Yani Wanajiuza Barabarani mchana kweupeeee na wanalipa kodi kwa serikali. Malaya Hawataisha - Wewe Tumia Akili Yako, Huwataki Uchune.Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.