LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,368
- 6,487
mkuu huwa naogopa kugombana na wewe. una tabia za nyuki ugomvi kidogo uvimbe mkubwaUna uhakika gani kama huo UKIMWI haupo na Nyumbani Kwako Mkuu?
mkuu huwa naogopa kugombana na wewe. una tabia za nyuki ugomvi kidogo uvimbe mkubwaUna uhakika gani kama huo UKIMWI haupo na Nyumbani Kwako Mkuu?
TZA ndio haijalasimishwa mkuu....duniani huko hiyo ni kazi na inaitwa sex tourism. Hata kenya hapo ni mfano pia.Heshima Mkuu!
Uchangudoa si kazi kama bank teller wala communication officer kama ulivyoiita.Ni chukizo mbele za MUNGU na adhabu yake ni motoni (Nb;kwa wanaoamini).
Hujawahi kujiuliza kuwa ni kwanini hairasimishwi?.Kwanini hawalipi kodi?. nk?.
Wewe acha kwenda, kwa nini ulalamike huku? wakati unauliza bei tulikutuma?Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Nami nashangaa naona ajabuMkuu una ID ngapi humu maana sikuelewi
Sisemei mvuto mkuuWanaume wa daisalam utawajua tu.
"Changudoa" ni jina la biashara!!
Bidhaa yenyewe ni mwanamke!!!!! Anamaumbile kama mkeo wa ndoa, wengine wana mvuto kumzidi my wife wako.
Ohooo! ushaharibu sasa na mvua hii wadau watakimbilia hukoAisee hapo mori guest wamejaza hiyo gesti, ukiingia humo ndani wanakugombania kama vile wanakujua, bora uingie Chumba No. 006 ndo mstaarabu kidogo
Yaani wewe pesa na simu ndio umeona vitu vya thamani sana kuliko afya yako?!unaweza kulala nae ila uwe mjanja pesa na simu ufiche,,,,chana godoro na wembe halafu ufiche hivyo vitu..ndo salama yako