Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Si bora hao wanaokaa barabaran kuna siku wanakosa wanunuzi na wale wenzangu na mimi wenye wanaume hamsin wanasubir cm tu njoo uku mwingine pale pale wik ina cku saba ila yeye anatoka na wanaume kumi iyo nayo mnaiitaje bora na uyo anaenunua changudoa anakuwa makin
 
duh aisee ni kweli...jana nilipita mitaa ya pale kona baa na kule kwenye ile gest lakin daah yaan hamna totoz kabisa..watoto km warda, au vaileth yule mwenye hips cku hz hawaonekani kabisa
mkuu hadi majina unawafaham umetisha ila ni laana kubwa na mikosi kupiga machangu
 
Watu hawaogopi ukimwi wanaogopa kuibiwa bwana
 
wale warembo wamejito muhanga. ila we unayenunua ndiyo huogopi ukimwi????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Hivi mtu akitongoza mtaani ana uhakika ganj kuwa anayemtongoza hagawi ovyo? Au sio changudoa? Kuna tofauti gani kati ya mwanamke wa kitaa siku hizi na changudoa?
 
BASHITE wenu si ameshasafisha jiji ama?
 
Back
Top Bottom