Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,121
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?,

Ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
0715503455
 
Haya maajabu sasa! Yaani we unataka changudoa aogope ukimwi!!!!?
Unahoji eti wanauza ukimwi kwa bei chee (unawona wajinga)

Sasa mbona huwahoji na hao wanao ununua huo ukimwi kwa bei chee!!?.

Huo udomozege wenu ndo unawaponza, mnahamu sana kama kuku ama mnahela sana za kuwafanyia hisani hao machangudoa!!?

Basi nunueni tu huo ukimwi msitupigie kelele hapa.
 
Back
Top Bottom