Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Baridi hii inaibua makubwa zaidi. Msako upitishwe kuokoa vizazi na vizazi. #noKAVUKAVU4elf2#
 
Suala la Ukimwi ni ngumu sana. Ukienda pale corner bar utajua ni suala la kuomba Mungu akuepushe na hili gonjwa. Watu wanenda pale ni waume za watu vijana wenyewe wachumba, na wapenzi. Huu ugonjwa wa Ukimwi unatufikia kwa njia tofauti wewe unaweza usichukue Malaya lakini Ukimwi wa Malaya ukakufikia.
 
Corner bar tumeshaifunga sasa hivi wamehamia Lachaaz Pub n Lounge jirani na Mori Bar.
 
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Watu wabaya ni wanaonunua,wananunua ukimwi wanapeleka nyumban kwa wake/wachumba au wapenzi!
 
Hivi bado hii biashara ipo?? kwetu Arusha nafikiri wenye biashara hizi weshafilisika siku nyiingi wanadaiwa na TRA
 
Mori pawekwe kituo cha ushauri nasaha kuwasaidia hawa dada zetu
 
Baridi hii inaibua makubwa zaidi. Msako upitishwe kuokoa vizazi na vizazi. #noKAVUKAVU4elf2#
duh aisee ni kweli...jana nilipita mitaa ya pale kona baa na kule kwenye ile gest lakin daah yaan hamna totoz kabisa..watoto km warda, au vaileth yule mwenye hips cku hz hawaonekani kabisa
 
Wakikosa wateja hawatajipanga barabarani tatizo nyie wateja mpo
 
~~>>>Hao machangudoa wapo kazini ... wao kupata ngoma ni ajali kazini.....

Nashangaa hao wateja wanaonunua hizo nyapu nao hawaogopi ukimwi??
Ila ukae ukijua pia kuna wanaume wameshaungua nao wanawapelekea hao machangu Ukimwi kwa hiyo ni win win situation tusiwanyooshee tu kidole machangu eti wameshaungua ,je na hao wateja wao hawajaungua? na ki ukweli machangu wengi bila ndomu haupigi tena hiyo ndomu yenyewe ukiivaa anaikagua kama fundi saa
 
Acha ubishi wa kikurya, andaa 2,000/= kisha watafute wafuatao;
1. Tina 0719747965;
2. Bolilo 0713 144071;
3. Bonge 0719 688419;
4. Hasara Roho 0682 769685
Hizo zitakuwa reject kama zile nyama za buchani zinazouzwa saa tano usiku
 
Back
Top Bottom