Mku hawa madada wamenisaidia sana kama sio hawa na Mungu kwa tabia ambazo nilikuwaga nazo ktk ufresh ujana wangu nilishaondoka Duniani. Kumbuka ni madada wachache sana huwa hukubali kuingiliwa bila Kondom na sisi pia huwa hatuwaamini ndo maana swala kwanza tunaulizia Kondom.Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Mfano miaka ya 1996 kwa mtu aliyewahi kukaa South Africa Jorberg kuna Hotel inaitwa Uroppe hapo tulikuwa tunawafungia safari kwa Wiki Mara nne hapo mix kila rangi unayotaka ww ni muda.
Pili hawa Madada wanafaida kwa mtu mwelelewa kwanza mwanadada anayejiuza hayuko ktk mazoea mkishaelewana bei Tzs 20,000/= imetoka ni ww kwenda kujilia vitu vyako tuu.
Grarama yako ni kumlipa yeye na kuchukua chumba Tzs 40,000/= tu basi labda uamue kumpa ofa baada kufurahishwa na huduma yake.
Sasa njoo ktk hayaahudiano ya huku mtaani demu unatoka naye sehemu ukipiga mahesabu afadhali uingie kwa hawa Dada zetu wa Mji kwani hawa ni bei tu mambo yamenyooka