Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Swali la msingi hapa ni ...
*WANAUME MNAONUNUA CHANGUDOA SINZA MORI HAMUOGOPI UKIMWI?
 
Ni ngumu kumkuta 'kahaba' ana ngoma ila ni rahisi sana kwa malaya kuwa muathirika.

Jichagulie mwenyewe upande wa kwenda hapo [emoji1540] mkuu.
 
Aspirin mpenzi msikie huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.

Mshamba siyo changu, mshamba ni mteja anayenunua kavu.
 
Haya mambo balaa ukizoea kuchovywa huachi
 
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Aiseee ! Kwahiyo ukimwi ni zaidi ya Allah,God !
 
Back
Top Bottom