Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli?, ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.
Acha uongo,
Bei ya Sembe-Sinza kilo moja haizidi 1000/=😂
 
duh nakumbuka 2014 nilichukuaga mtu hapo mori, ndom ikapasuka katika rough road, nilimeza PEP bila kupenda mwezi mzima, dawa zinazingua zile, sina hamu nao tena hao.
Yani una maanisha ulikua unakula nduku ndo kitu kikapasuka??
 
duh nakumbuka 2014 nilichukuaga mtu hapo mori, ndom ikapasuka katika rough road, nilimeza PEP bila kupenda mwezi mzima, dawa zinazingua zile, sina hamu nao tena hao.
Hahahaaaaa mkuuu. Hapo morii kuna kitoto nilkuwa kikarii balaa. Kilinipeleka chumbani kwake piga sana hadi kikanisanehe hela. Tokea hapo tukawa marafiki kikinimis kinanipigia nakuja kula mzigo
 
Back
Top Bottom