Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Aisee hapo mori guest wamejaza hiyo gesti, ukiingia humo ndani wanakugombania kama vile wanakujua, bora uingie Chumba No. 006 ndo mstaarabu kidogo. Bonge bonge hiv anatia hamu hata katika kwichi-kwichi.
Duuh mkuu hadi namba ya chumba 006? Yaelekea we upo vzr aisee
 
Nadhani ndio huyu mkuu
53d8c3c22e9045c61a3039a3c0249a1b.jpg
ndio mkuu,kafia kwao dodoma
 
Hali hii itaendelea mpaka lini? Mnajirahisisha mpaka huku maeneo ya SOCCER CITY mpaka meeda tena mnapigia debe eti kavu Tshs. 2,000/= tutapona kweli? , ni maisha yamebana ama? yaani mnauza UKIMWI kwa bei chini ya kilo moja ya UNGA wa ugali? Badilikeni.



Wanazingatia hali halisi ya vyuma kukaza. Hivyo usihofu, vyuma Vikilegea watapandisha dau hadi lile unalolitaka.
 
ipo haja ya kuwaelimisha hawa dada zetu. wanaharibu sifa nzuri ya jiji la mwenyewe
 
Heshima Mkuu!

Uchangudoa si kazi kama bank teller wala communication officer kama ulivyoiita.Ni chukizo mbele za MUNGU na adhabu yake ni motoni (Nb;kwa wanaoamini).

Hujawahi kujiuliza kuwa ni kwanini hairasimishwi?.Kwanini hawalipi kodi?. nk?.
Si huku tu shithole countries duniani huko unapita kama pale posta mpya kwenye yale mavioo unaona papuchi of all races
 
Back
Top Bottom