Mabwabwa yakifunga ndoa nchini South Africa

Mungu atuepushie mbali.
Mtihani unaotunyemelea ni kuwa baadhi ya makanisa tena makubwa yamesha jihalalishia ndoa hizo na huzifunga. Na hayo makanisa yapo hapa kwetu na pia UN inaunga mkono upogo huo sasa kama tuko pamoja tuwakatae hawa vinara wa uchafu.
 
Makanisa gani hayo?unaweza kuyataja?unaweza kutoa ushahidi wa unayoyasema?
 
431941_450234051728260_2076446508_n.jpg

EWE MWENYEEZI MUNGU NDOA KAM HIZI UTUEPUSHE INSHALLAH ZISIJE HAPO KWETU TANZANIA SEMENI AMEEN.

Amen...
 
huku bongo mbona yapo sema ndio hayaoani tuu
 
Attachments

  • Photo0869[1].jpg
    Photo0869[1].jpg
    27.2 KB · Views: 72
  • Photo0867[1].jpg
    Photo0867[1].jpg
    34.2 KB · Views: 67
Wanawake wote nyie mupo wazuri Midume ikaoane wenyewe kwa wenyewe ahhh? Wanawake hakuna kwani?
Mkuu MziziMkavu pamoja na lawama tunazozitoa lazima tukubali kuwa hapa dunia kuna mashoga (wana homones za kike)!kitaalamu sijui nini kifanyike kumaliza hili tatizo!
 
Last edited by a moderator:
Hii dunia inakwenda wapi, nini hatima yake, mbona ni zaidi ya sodoma na gomora, Eee Mungu epushia mbali Tanzania isije ingia huko.
 
Hii dunia inakwenda wapi, nini hatima yake, mbona ni zaidi ya sodoma na gomora, Eee Mungu epushia mbali Tanzania isije ingia huko.
Mkuu tuendelee kumuomba mungu kwa nguvu zetu zote,haya mambo yameshashika kasi hapa nchini!
 
Back
Top Bottom