Mabwabwa yakifunga ndoa nchini South Africa

Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?

When you are too open minded,You brains will fall out.....
 
!
!
na kweli mwaya!wasije wakakuharibia ulipolewa bure ukaanza kutafuta bwana upya

Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?
 
Ikiwa mchungaji wa kondoo anaweza kupora mke wa mtu na kuzaa nae, ikiwa mchungaji wa kondoo anaweza kuoa kuolewa na mwanamme mwenzie, tutegemee nini kutoka kwa kondoo zake?

Reverend Colin Coward, 65, a homosexual priest at St John the Baptist Church in Devizes, Wiltshire, England, has announced plans to marry his Nigerian male model boyfriend, Bobby Ikekhuame Egbele, 25. Mr. Egbele is a fashion designer and runs an online clothing shop, Bobafrique ( http://www.bobafrique.com/index.htm ), where he models clothes.
Devizes has four Church of England parish churches, the oldest, St John the Baptist Church founded in 1130 and dedicated to St John the Baptist.

Source: http://nigeriamasterweb.com/blog/index.php/2010/08/23/british_gay_priest_to_marry_nigerian_man
 
Jamani jamani hata hamwoni huyo mwanamke aliyeshika maiki mpaka aamue kufanya hivyo?Mungu tusaidie kizazi chetu.Ila haya ni mavuno ya waliopanda waliotutangulia,huwezi kuvuna mzabibu kama ulipanda mahindi.EEEE Mola tunusuru.
 
Mkuu kwahiyo unashabikia huu ujinga?mungu akuongoze ili upate kujitambua!

Mkuu fuatilia thread vizuri. Mwanzisha thread ameomba Mungu aepushe haya mambo yasiingie hapa kwetu. Mwisho wa sala yake ameomba wote tuitikie Amen ili sala yake isikilizwe. Watu wanaitikia Amen we unawatilia mashaka. Kwahiyo wasiitikie ili sala ya MziziMkavu isisikilizwe na Mungu?? Unataka ushoga uhalalishwe na huku kwetu?

God forbid.
 
Last edited by a moderator:
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe..kila mtu atahukumiwa sawasawa na matendo yake mwenyewe
Ikiwa mchungaji wa kondoo
anaweza kupora mke wa mtu na kuzaa nae, ikiwa mchungaji wa kondoo
anaweza kuoa kuolewa na mwanamme mwenzie, tutegemee nini kutoka kwa
kondoo zake?

Reverend Colin Coward, 65, a homosexual priest at St John the Baptist
Church in Devizes, Wiltshire, England, has announced plans to marry his
Nigerian male model boyfriend, Bobby Ikekhuame Egbele, 25. Mr. Egbele
is a fashion designer and runs an online clothing shop, Bobafrique (
bobafrique.com ), where he models
clothes.
Devizes has four Church of England parish churches, the oldest, St John
the Baptist Church founded in 1130 and dedicated to St John the
Baptist.

Source:
British Gay Priest To Marry Nigerian Man
 
kwa kweli inashangaza sana tunapoona mambo kama haya yakitokea katika dunia hii na hii inadhihirisha ukomo wa dunia, haiwezekani watu wenye jinsia moja wakifunga ndoa, Ee MU NGU tuepushe mbali nalo janga hili lisiguse jamii inayotuzunguka, tuyaonapo haya ni lazima tuchangamke ahsanteni
 
kweli wewe ni KIBOKO!
Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?
 
Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?

Huu kweli ni msiba mkubwa
 
Ewe Mungu muweza wa yote wasamehe waja wako waliokosea na uwaongoze njia sahihi waliopotea... Amyn
 
Back
Top Bottom