Mabwabwa yakifunga ndoa nchini South Africa

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,394
2,000
431941_450234051728260_2076446508_n.jpg

ewe mwenyeezi mungu ndoa kam hizi utuepushe inshallah zisije hapo kwetu tanzania semeni ameen.

freedom
 
hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,561
2,000
Ikiwa mchungaji wa kondoo anaweza kupora mke wa mtu na kuzaa nae, ikiwa mchungaji wa kondoo anaweza kuoa kuolewa na mwanamme mwenzie, tutegemee nini kutoka kwa kondoo zake?Reverend Colin Coward, 65, a homosexual priest at St John the Baptist Church in Devizes, Wiltshire, England, has announced plans to marry his Nigerian male model boyfriend, Bobby Ikekhuame Egbele, 25. Mr. Egbele is a fashion designer and runs an online clothing shop, Bobafrique ( bobafrique.com ), where he models clothes.
Devizes has four Church of England parish churches, the oldest, St John the Baptist Church founded in 1130 and dedicated to St John the Baptist.

Source: British Gay Priest To Marry Nigerian Man

Hivi we mama ni wakristo tu umewaona wakifanya haya mambo,
au ni chuki ya kupindukia juu ya ukristo.
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,136
2,000
Mungu atunusuru kwa hilo na mengine yasofaa yalojaa ulimwenguni!
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,779
2,000
Mkuu fuatilia thread vizuri. Mwanzisha thread ameomba Mungu aepushe haya mambo yasiingie hapa kwetu. Mwisho wa sala yake ameomba wote tuitikie Amen ili sala yake isikilizwe. Watu wanaitikia Amen we unawatilia mashaka. Kwahiyo wasiitikie ili sala ya MziziMkavu isisikilizwe na Mungu?? Unataka ushoga uhalalishwe na huku kwetu?

God forbid.
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri!
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,779
2,000
Ikiwa mchungaji wa kondoo anaweza kupora mke wa mtu na kuzaa nae, ikiwa mchungaji wa kondoo anaweza kuoa kuolewa na mwanamme mwenzie, tutegemee nini kutoka kwa kondoo zake?Reverend Colin Coward, 65, a homosexual priest at St John the Baptist Church in Devizes, Wiltshire, England, has announced plans to marry his Nigerian male model boyfriend, Bobby Ikekhuame Egbele, 25. Mr. Egbele is a fashion designer and runs an online clothing shop, Bobafrique ( bobafrique.com ), where he models clothes.
Devizes has four Church of England parish churches, the oldest, St John the Baptist Church founded in 1130 and dedicated to St John the Baptist.

Source: British Gay Priest To Marry Nigerian Man
Teh teh teh! Kwenye uislamu hakuna mabasha wala mashoga!
Akili mgando!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom