Mabwabwa yakifunga ndoa nchini South Africa

Yaaaan hapo nakuja na bakoraa....

Sent from my BlackBerry 8520 from south-west Tanzania
 
Kama wazee wanapima vijana kwa kipimo walichopimiwa wao then kiwango kimeshuka, kama vijana wanaopata elimu wanaona wenyewe kuwa inawasaidia then hakijashuka.

Japo si mzee wala kijana najua kuwa watu wanakuwa wabinafsi zaidi kadiri siku zinavyoendelea. Asipotokea mtu wa kureverse hii (hopefully JK) tunaishia pabaya very soon.

Tatizo la elimu kama lipo kwa nini halishughulikiwi? Ina maana hakuna wataalamu? Mbona kila siku wanasomeshwa?

Tunasomesha wataalamu wengi sana hatutakiwi kuwa na sector isiyokuwa na wataalamu WA KUSOLVE PROBLEMS. Sio kuandika mada.

Ni aibu kuzuzungumzia hili jambo miaka nenda rudi.

Let us do it, find a solution and stick to it.

Hiyo ipo kwenye quran pia
 
Acheni zenu nyie kwani nan alsema mwanamke lazma ailewe na mwanaume? Achen kila mtu aish maisha anayohis n sahihi kwake,ubwabwa wake yy ww kinakuwasha nn? Au ndo Roho inauma mwataka ihalalishwe na hapa ili na nyie muanze vigaawa?
Kwa haraka haraka ww ni chakula cha watu teteteteeeeh
 
431941_450234051728260_2076446508_n.jpg


EWE MWENYEEZI MUNGU NDOA KAM HIZI UTUEPUSHE INSHALLAH ZISIJE HAPO KWETU TANZANIA SEMENI AMEEN.
Tuombe isiwe dhahiri kama hivi lakini bahati mbaya tayari zimeshafungwa!
 
431941_450234051728260_2076446508_n.jpg


EWE MWENYEEZI MUNGU NDOA KAM HIZI UTUEPUSHE INSHALLAH ZISIJE HAPO KWETU TANZANIA SEMENI AMEEN.
MziziMkavu, na huyo mama alieshika vitabu haoni wivu kwamba jembe linakwenda kulima kwenye mawe ?????????????????? Patavunwa nini hapo kama si uharibifu mtupu ?????. TUNATAKIWA KUSIMAMA ZAMU YETU SASA KUMKIMBIZA SHETANI KWA KUFUNGA NA KUOMBA KWA JINA LA YESU
 
Last edited by a moderator:
Yaani mnalawitiana halafu muombe utukufu badala ya kuomba adhabu.binadamu sisi washenzi sana.
 
Wamedhalilisha mila na tamaduni za South. Kwa nini wavae mavazi yakimila?
 
Back
Top Bottom