Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
- Thread starter
- #141
Haiwezekani hiiHapo mkeo ashavuliwa supi,stuka
Haiwezekani hiiHapo mkeo ashavuliwa supi,stuka
Anhaa wewe ni wale watu wakimya sio😅😅, basi achana nao wafurahi, Mimi pia ni miongoni mwa watu ambao nimeshakuwa na story nyingi sana na shemeji yangu hadi kuna kipindi nikawa nahisi kabisa bro wangu alianza kunitilia mashaka coz kuna siku zingine alikua anakuja kwa kutushtukiza ili aone nini kinaendelea😂😂😂.Mim ni mvivu kuongea ilo tu
😂😂😂😂😂😂Jifanyee unasafiri alafu ucku urudi uchunguliee Kwa drishaa uone yanayoendelea ndani chumbani kwako alafu ufe Kwa presha kisa kuona dogo anavyopress hyo Mali ya mkeo 😀😀😀
Hakikaa n huzuni..
Yule wa mpali😁Mpaka wamenipa jina et wananiita bwana nguzo kweli
Ukumla mke wakeAnhaa wewe ni wale watu wakimya sio😅😅, basi achana nao wafurahi, Mimi pia ni miongoni mwa watu ambao nimeshakuwa na story nyingi sana na shemeji yangu hadi kuna kipindi nikawa nahisi kabisa bro wangu alianza kunitilia mashaka coz kuna siku zingine alikua anakuja kwa kutushtukiza ili aone nini kinaendelea😂😂😂.
Kwahiyo hayo mambo yapo mkuu, cha muhimu hakikisha wanazingatia mipaka yao tu(hasa mkeo).
Mrudishe home then weka masharti na taratibuAna muitaga anakaa kwenye kiti wanapiga story mpaka wamenipa nik name naitwa bwana nguzo kweli
Ndio na yeye anajiita shupiweYule wa mpali😁
Hapo sawaMrudishe home then weka masharti na taratibu
Fuata huu ushauriMtimue dogo asijekukuachia kopi yake
Kwanini wachek.......shida ni kwamba ingetokea mke anagombana na mashemeji ungekuja tena na uzi kama huu kuuliza tungefanyaje, leo wanacheka pia ni tatizo......
Ana somaFuata huu ushauri
Hapana mkuu... Na licha ya story zote tulizokua tunapiga ila hata kwa bahati mbaya hatukuwahi kufika huko mbali.😅😅.Ukumla mke wake
Mlikuwa mnaongea nini?Hapana mkuu... Na licha ya story zote tulizokua tunapiga ila hata kwa bahati mbaya hatukuwahi kufika huko mbali.😅😅.
Nimekuhadithia ili ufanye kumithirisha, kwamba usiwe na wasiwasi waache waenjoy.
Kwani akisoma hawezi kutombana?Ana soma
Wow, ndiyo ninachokupendea mimi jamani😋😋Pilau leo
Anaweza ila sasa kuhama shidaKwani akisoma hawezi kutombana?
Nimekupikia leoWow, ndiyo ninachokupendea mimi jamani😋😋
Sitaki ashinde vijiweniMwambie dogo aache tabia za kike za kukaa kaa jikoni na kupenda kupiga story na wanawake.
Akae nje huko awe anapiga story hata na maboda boda.