Mabro na swali

Mabro na swali

Washenzi hao.

Inawezekana dogo hana hatia, ila mke ndio ana shida, na ushaoa.

Kwahiyo hebu ongea na mke wako.
Mwambie huoni kama ni sawa yeye kushinda na kucheka na Mdogo wako.
Naogopa kuongea nae anakuwa mkali
 
Mkuu ukiona ukikaa na mtu story nizakudunduliza ujue kuna maeneo mengi sana hamuendani, lakini mtu ambae mnaendana kwenye maeneo kadha wa kadha ukikaa nae hata muda unavyotembea hauuoni, ni weka tuweke yani😅😅.

Lakini pia inawezekana wewe ni aina ya wale majamaa wanaotanguliza ubaba mbele na kuwaona wake zao just wanawake tu so hawana chochote cha maana cha kuwaambia.

Kwasababu haiwezekani useme huna chochote cha kuongea nae while akikaa na mdogo wako wanapata cha kuongea na vicheko juu.

Unahisi ni story za aina gani ambazo mdogo wako anaweza kupiga na mkeo ila wewe hauwezi? 😊
Mim ni mvivu kuongea ilo tu
 
Naogopa kuongea nae anakuwa mkali
Bro.
Shida naona sio wao.
Ni wewe.

Ww ndio mwanaume. Mke ana miaka 26, dogo 20.
Wote unawalisha, alaf unaogopa kuongea kama mwanaume kuwa hiki sipendi?

Bro!, you are not serious! Au na ww una miaka 24?.

Pia hata kama ni mdogo, Men up bro.

Hii ni moja ya misimamo mwanaume anatakiwa kusimama nayo!
 
Bro.
Shida naona sio wao.
Ni wewe.

Ww ndio mwanaume. Mke ana miaka 26, dogo 20.
Wote unawalisha, alaf unaogopa kuongea kama mwanaume kuwa hiki sipendi?

Bro!, you are not serious! Au na ww una miaka 24?.

Pia hata kama ni mdogo, Men up bro.

Hii ni moja ya misimamo mwanaume anatakiwa kusimama nayo!
Siogopi ila kuongea sipendi kabisa nikiongea hasira zinapanda huwa namuambiaga dada yake ana msema mambo yana kaa sawa
 
Back
Top Bottom