Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,205
- 3,186
Kumbe usenge unao by nature...😅Sasa si nampikia mke wangu kwa mapenzi nimemzoesha
Kumbe usenge unao by nature...😅Sasa si nampikia mke wangu kwa mapenzi nimemzoesha
Kwanini acheke na dogo kuliko mimiSasa kosa la mkeo likwapi? Awe na gubu kama wewe?
ivi umeelewa swali?Alafu nikupe mbinu mtu ambaye ashapiga mkeo huwezi kuta et wapo na mastory mengi kiivyo ukiona mastory mengi ujue hakuna kitu hapo au labda ndo yupo kufukuzia ila siyo ashapiga kama mimi siwezi kuona wivu kwakua nishampa principal zangu akitoka nnje ya hapo ni red
You're missed too babe Mwachii, leo utapika nini?😋😋Hi my lovely cute i miss you
Nitanunua iko kitabu af nitampaBasi mwambie akasome stori ya NGOSWE, PENZI KITOVU CHA UZEMBE.
Hapana mke mkubwa ila wale wadada wa mjini tiktokerWana lingana umri?
NitajaribuInabidi uwe unashinda nao jikoni tu
Af yeye anajiita shupiweAhahaha nguzo bana
Vicheko vya dogo na mke wake vinamuumiza, bora acheke nao tu huko jikoniUmefika mbali mkuu
We jamaa mnafikiUmefika mbali mkuu
Fanya hivyo. Halafu uwaulize kwanini wamekuita NguzoNitajaribu
Ukiona nampika ujue analiwa usiku so namuandaa kiakili af iyo siku chakula kinaliwa chumbaniKumbe usenge unao by nature...😅
Mkuu ukiona ukikaa na mtu story nizakudunduliza ujue kuna maeneo mengi sana hamuendani, lakini mtu ambae mnaendana kwenye maeneo kadha wa kadha ukikaa nae hata muda unavyotembea hauuoni, ni weka tuweke yani😅😅.Sasa naongea nae nini akinipa umbea naitikia tu weee kumbe labda ishu za kwao kiufupi nina majibunya short
Washenzi hao.Hapana mke mkubwa ila wale wadada wa mjini tiktoker
🤣🤣🤣🤣 Daaah.. unajiuliza sijui nicheke... Au nilie tuVicheko vya dogo na mke wake vinamuumiza, bora acheke nao tu huko jikoni
Dogo miaka 20 wife 26Hizi usipuuzie,
1. Mtoto wa kiume kushinda jikon na shemej
2. Wanacheka sana.
Red flags hizi.
Mwanamke anayejielewa hawez cheka cheka hovyo hata na baba mkwe sembuse mdogo wako!
Nimeuliza swali, wife na dogo wana miaka mingapi? Ni agemate?
😂😂😂😂😂Kaka huyo dogo mi ningebonda walah tenaAf yeye anajiita shupiwe
Unataka kutimua ndugu yako?Et natimua mke 🤣
Pilau leoYou're missed too babe Mwachii, leo utapika nini?😋😋