Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,310
- 5,977
Sasa kwanini mcheke kidogo😅😅😅 fanya mcheke sana mkiwa chumbani ili mzani ubalance mkuu.Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?