Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,304
- 5,754
Basi kuwa mpole, muache acheze na shemeji yake.Sitaki ashinde vijiweni
Basi kuwa mpole, muache acheze na shemeji yake.Sitaki ashinde vijiweni
Mtafutie mchongo wa kufanya au vikazi vya hapa na pale ambavyo vitamfanya achoke mwili au akiliAnaweza ila sasa kuhama shida
Story mbalimbali tu mkuu, na si story za kupangwa ila ni zenyewe tu zinafloo... Udaku, movie, general stories kuhusu maisha na kadhalika.Mlikuwa mnaongea nini?
Kwasababu wewe humchekeshi upo serious muda wote.Kwanini acheke na dogo kuliko mimi
Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
HapabaBasi kuwa mpole, muache acheze na shemeji yake.
Anafanya kazi ata kufyeka unaweza kuta anafyeka shemeji yake kaka wanapiga storyMtafutie mchongo wa kufanya au vikazi vya hapa na pale ambavyo vitamfanya achoke mwili au akili
Ahahha nyie wabayaStory mbalimbali tu mkuu, na si story za kupangwa ila ni zenyewe tu zinafloo... Udaku, movie, general stories kuhusu maisha na kadhalika.
Tulia bas 😂Na wewe umeoa??
Dah nitaanzaKwasababu wewe humchekeshi upo serious muda wote.
Jinga we 😀Sijaona shida. Kwa nini mpaka utangaze kwa watu kuwa unaswali? Nenda kaswali tu ni ibada yako.
Kazi hazikosekani wape kazi wote wawili za kuwatenganisha mkuuAnafanya kazi ata kufyeka unaweza kuta anafyeka shemeji yake kaka wanapiga story
Ngoja nifanye ivyoKazi hazikosekani wape kazi wote wawili za kuwatenganisha mkuu
Ahahha sasa ungekuwa wewe ungachekea mpaka wanakuita bwana nguzoKwahyo shida ni kucheka tu mkuu, fanya umpeleke hospital mmoja wapo wamnyofoe bandama waache ujinga 😅
Ishu zingine ndogo ndogo kama hizi mnaletaje hapa jukwaani?
Kama dogo anamuda wa kukaa jikoni na shemeji yake huyo bro akodishe fremu mtaa wa mbali huko dogo awe anashinda anauza maziwa na mboga mboga huko
Akitoka huko anarudi kachoka na atamkuta bro naye kesha rudi
Nitakudunda kama Jobless_BillionaireSharing is caring mzee,, msitubanie madogo.