Mabro na swali

Mabro na swali

Hapo kwa bwana nguzo ndo ningefungua jalada la kesi yangu. But ndugu ni ndugu tu me ningedili na mke. Usijali bwana nguzo labda ni utoto tu 😅😅😅. Ila nguzo🤣🤣🤣
Mimi namuita shupiwe ila hajui kwanini na ajui kama najua wananiita nguzo
 
Dogo yuko idle sana anzisha bustan apo nyumban dogo akitoka Shule ni kumwagia weka mifugo ng'ombe akirud akakate nyasi au kulisha kuku
 
Huenda ukawa huumpi mkeo muda wa kutosha pindi anapokuhitaji na badala yake ameiona fursa ya muda kwa mdogo wako,punguza ubize ndugu yangu.

Au kama una Haiba ya ukali,kutokuongea nae mara kwa mara juu ya maswala mbalimbali hasa yanayolenga familia yenu inakubidi uanze kufanya hivyo ili kumkeep close mkeo .

Then acha kuwa na mawazo hasi juu ya ukaribu wa mkeo na mdogo wako maana utajikuta unataka kufanya maamuzi ambayo siyo sahihi kwa mkeo na mdogo wako(Build a positive perception concerning their closeness).

Kama ukithubutu kumzingua mkeo/Dogo wako juu ya swala hilo,trust me kwamba unakaribia kujenga familia yenye mpasuko na isiyokuwa na upendo uliokomaa.

"USIJARIBU KUUENDEA KWA PUPA MTEGO UNAOHITAJI AKILI".
 
Dogo yuko idle sana anzisha bustan apo nyumban dogo akitoka Shule ni kumwagia weka mifugo ng'ombe akirud akakate nyasi au kulisha kuku
Kumtesa kijana sasa uoo
 
Back
Top Bottom