Au Watoto wa laiboni wamewapa Dawa za kuwafukuza 😂😂Aliingia kuna vijana wanalinda siku wanyama wakitibuka wanakimbizwa ila hawajala kama tulivyo tegemea
Uhakika 😂Au Watoto wa laiboni wamewapa Dawa za kuwafukuza 😂😂
Au Watoto wa laiboni wamewapa Dawa za kuwafukuza 😂😂
Sasa kama huna stori nae huyo mkeo , humchekeshi anachekaje!? Jiangalie mwenyewe kwanza unakwama wapi mpka mkeo anakosa vicheko ukiwa naeMfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?