Mabro na swali

Mabro na swali

Huenda ukawa huumpi mkeo muda wa kutosha pindi anapokuhitaji na badala yake ameiona fursa ya muda kwa mdogo wako,punguza ubize ndugu yangu.

Au kama una Haiba ya ukali,kutokuongea nae mara kwa mara juu ya maswala mbalimbali hasa yanayolenga familia yenu inakubidi uanze kufanya hivyo ili kumkeep close mkeo .

Then acha kuwa na mawazo hasi juu ya ukaribu wa mkeo na mdogo wako maana utajikuta unataka kufanya maamuzi ambayo siyo sahihi kwa mkeo na mdogo wako(Build a positive perception concerning their closeness).

Kama ukithubutu kumzingua mkeo/Dogo wako juu ya swala hilo,trust me kwamba unakaribia kujenga familia yenye mpasuko na isiyokuwa na upendo uliokomaa.

"USIJARIBU KUUENDEA KWA PUPA MTEGO UNAOHITAJI AKILI".
Sawa
 
Kwa Hobie ya hawa wanawake hapo tayari ameliwa. Wanawake hawaeleweki utampatia hela na kila kitu akikosa attention tu kama anavyofanya dogo tayari analiwa. Ukimpa attention akakosa hela atamtafuta wa hela amkule.

Ushauri kwa picha hilo kama humpendi huyo mwanamke na una nia ya wazi kumtema,basi umepata njia rahisi ya kumtema. Fanya kama hujali ukaribu wao na fanya kama unaubariki ukaribu wao,soon utawafuma live. Mwanamke akiona huna habari na anachokificha ataendelea kujiachia kwa kasi. Muhimu tu uwe na kifua cha kuhimili utakavyomfuma anapasuliwa kwa style ngeni kwako.

La kama mkeo unampenda una malengo nae. Mtoe dogo hapo home chap. Kabla ya copy.
 
Pole sana mkuu, ukiwa na mke anaecheka hovyo, kule kwa kina Labani og wanamuita "ngenyela" ni tabu sana.
 
Furahia tu mdogo wako anamahusiano mazuri na wife sasa wewe ulitaka muishije? Inawezekana wewe hunaga story za kufurahisha unataka mke achekecheke tu ...!

Kama wangekuwa wanafanya jambo la usaliti kwanza hata hivo vicheko usingevisikia ungekuwa unasikia miguno tu
 

Attachments

  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    1.2 MB · Views: 8
Baba A.D. ameamua kwakweli 😂😂😂😂 ila ipo siku mtawakuta Nyati humo
Aliingia kuna vijana wanalinda siku wanyama wakitibuka wanakimbizwa ila hawajala kama tulivyo tegemea
 
Mtoe dogo out.
Then muadithie story ya jamaa kaua mdogo wake kwa risasi kisa tu alimkuta anakula mke wake.

Katika hyo hadithi hakikisha unakua upande wa jamaaa.

Then u will not the difference
 
Back
Top Bottom