Mabomu ya machozi yarindima tena Zanzibar leo

Mabomu ya machozi yarindima tena Zanzibar leo

Polisi wanaendelea kutumia nguvu nyingi kutuliza watu hivi mpaka lini? Leo boko haramu wamechoma makanisa matatu nigeria, kwa nini serikali isiwasikilize hawa watu jamani?

Au kama inajua haitawasikiliza kwa nini isikivunje hiki mkikunde? Tutaendelea kuishi hivi mpaka lini?

.
Serikali ya sisiem haiwezi kuvunja kitengo chao. Kipo pale kwa kazi maalumu bana.
.
 
Wahuni hao, wapigwe tu mabomu. Haina kusikilizwa hapo.
 
wapewe nchi yao ccm inatupeleka pabaya kama hamjui
i second you!
Kama kweli basi kama huo ndio UTATUZI!! Kikuweli kufanya hivyo bila kujua undani wa Matatizo ya hawa watu ni hasarabtupu. Mara baada ya kupewa nchi yao wakawa wanaedneelea na Misuguano isiyo kwelisha na wao sasa wanakuwa Taifa Huru What do you do ...? Kwa hivi walivyo they dont have any ability to manage themselves ... dont you see that its better to contain them the way it or after some modifications ..
 
Mzee Mtei, kwanza shikamoo leo umesafisha hali ya hewa tokea ile post yako ya tume ya katiba.

Mawazo mazuri mzee umeleta .

Marahaba "Tume ya Katiba",

Nimekwisha pendekeza kwa WanaJF kadhaa wasome tena kwa makini, ile thread yangu juu ya uteuzi wa Tume. Sijabadilisha msimamo wangu. Uzi ni ule ule, mpaka kieleweke.
 
mwee!!tv,redio na friji used tutapataje hawa wakijitenga???na tende je??wasubiri kwanza bana
 
boko haramu aka uamsho hawazuiliwi kwa kuwapa wanachotaka labda kugeuza watu wote kuwa wa dini yao vinginevyo watachoma makanisa na kujilipua katika makusanyiko ya watu wa dini nyingine.....usipoziba ufa utajenga ukuta...nyie waleeni hao uamsho mtaona...they are capable of anything hasahasa kujilipua kwa kujitoa mhanga
 
Tanganyika tuna matatizo gani mbona tupo kimya kudai tanganyika yetu? Naanza kuvaa combat sasa tuanze revolution
 
Polisi wanaendelea kutumia nguvu nyingi kutuliza watu hivi mpaka lini? Leo boko haramu wamechoma makanisa matatu nigeria, kwa nini serikali isiwasikilize hawa watu jamani?

Au kama inajua haitawasikiliza kwa nini isikivunje hiki mkikunde? Tutaendelea kuishi hivi mpaka lini?

Sijakuelewa, heading na contents ni mbingu na dunia..... zanzibar na Nigeria wapi na wapi?
 
Hiyo sio dawa. Wanasema unaweza kumuua mjumbe lakini huwezi kuua ujumbe, au fikra ya mjumbe, you can never kill an idea.

Leo ni UAMSHO. Kesho ataibuka mwingine kubeba ujumbe, kubeba ile idea iliyoko vichwani mwa baadhi ya Watanzania, kwamba hawataki Muungano. Kwa hiyo, hata ungefuta usajili wao na kuwafunga, hata ungewapiga risasi UAMSHO wote, kesho hiyo idea itachipuka tena. Huo ndio ukweli. Martin Luther King, wa Marekani, alisema, "a truth buried to the ground will rise again"! Huwezi kuangamiza ukweli. Hata ungewapoteza, nini kufuta usajili, hata ungeficha milele viongozi wa UAMSHO wote, hiyo si dawa.

Dawa ni nini?

Nimesema "baadhi" ya Wananchi hawataki Muungano. Baadhi. Kinachotusumbua mpaka sasa ni, "baadhi" hao ni wangapi wetu? Jibu la hilo swali, ukipata jibu la hilo swali ndio umeanza kutafuta dawa!

uchomaji wa makanisa unahusika vipi na vuguvugu la uamsho wa kuvunja muungano? huu ni uhuni na ugaidi, na dawa ya ugaidi ni kuwaosama. viongozi wa tanzania bara naomba muwalinde wabara wote walioko zenji, kuweni kama wenzetu wa majuu raia wao hawaguswi, ukiwagusa utaona cha moto, uamsho kuweni wastaraabu kwa nini msichome maofisi ya serikali na ccm ? si ndo hawataki kuvunja muuungano? makanisa na raia wakawaida wa bara wamewakosa nini?
 
Kwa vile Tanzania tuna mchakato unaoendelea wa Katiba Mpya, Tume ya Warioba ipendekeze kura ya maoni, yaani referandum, ili Wazanzibari na Watanganyika waamue kama muungano uwepo au la.

Endapo ama Zanzibar au Tanganyika zaidi ya asilimia 50 hawataki muungano, basi hiyo Tume itoe ripoti moja juu ya Katiba ta Zanzibar na ripoti nyingine ihusu Katiba Mpya ya Tanganyika. Hakuna haja ya kulazimisha muungano.
mark section 9 (2) a,c and d
8-512efe19a3.jpg
 
Zanzibar kuruhusiwa tu kujiita eti Nchi ndio chanzo cha matatizo,uoga wa Kikwete unatuponza
 
uchomaji wa makanisa unahusika vipi na vuguvugu la uamsho wa kuvunja muungano? Huu ni uhuni na ugaidi, na dawa ya ugaidi ni kuwaosama. Viongozi wa tanzania bara naomba muwalinde wabara wote walioko zenji, kuweni kama wenzetu wa majuu raia wao hawaguswi, ukiwagusa utaona cha moto, uamsho kuweni wastaraabu kwa nini msichome maofisi ya serikali na ccm ? Si ndo hawataki kuvunja muuungano? Makanisa na raia wakawaida wa bara wamewakosa nini?

hivi wewe ni polisi mzuri sana ??? Wale watu 30 waliokamatwa na polisi wakafikishwa mahakamani wameonewa ?? Wewe kumbe unawajua waliochoma kumbe ni uamsho ??? Tafadhali fanya haraka ufike mahakamani uwaokowe hawa watu 30 na badala yake uiambie polisi iwakamate uwamsho
 
Wachapwe kwakosa lipi embu funguka utueleze tusioelewa ulichokiona acha kujibu kama msukuma guta funguka kama great thinker bila uonevu wa upande wowote

Wachapwe kwa kuchoma makanisa! kwani kuvunja muungano kuna uhusiano gani na kanisa? Chapa sana hawa watu, halafu acha dharau zako umeshaona kuwa msukuma guta ni mtu asiye na akili au asiyefikiria?? anasukuma guta kutafuta riziki yake na familia yake! wewe kama unaendesha VX ni yako na mke wako na hawara zako!!!
 
Back
Top Bottom