baada ya kaz kubwa ya kusoma comments zote humu nilichokingudua ni kwamba ndungu zetu WATANGANYIKA hamujui tuna dai nini
jawabu
mwaka 1964 rais wa tanganyika huru nyerere alimtaka rais wa jamuhuri ya watu wa zanzibar karume waunganishe nchi mbili huru .zikaunganishwa kufanya TanZania mwaka huo.
nyerere alinukuliwa akisema ikiwa wazanzibar kwa maslahi yao wataona muungano hauna faida katika maisha yao wakaamua kujitoa sitawapiga mabomu.
karume alisema muungano kama koti likikubana unalivua.
sasa wazanzibar tunaona muungano hauna faida tena na sisi tumeamua kujitoa TUNAITAKA SEREKALI ITISHE KURA YA MAONI KUHUSU MUUNGANO UWEPO AU USIWEPO ili ukweli ujulikane kama wengi wanautaka au la, kabla ya mabilioni kuteketea kwa katiba ya muungano ambao hautakiwi znz!(kikwete na serekali yake wanatupiga mabomu na kututisha WATAWAJIBIKA KWA WANACHOKIFANYA KWA WAZANZIBAR KAMA MUBARAK WA MISRI wakati ukifika)
jamani wazanzibar tuliukataa ukiristo kabla haujaingia bara wamishonari wakaomba kujenga kanisa tukawapa viwanja bure tukawasaidia kujenga kisha sisi tukenda kusali msikitini wazungu wakatushanga, wakaomba wapewe ruhusa ya kutangaza ukiristo bara wakaruhusiwa nendeni mkawabatize kwa hiyari yao msiwalazimishe wakasema sawa....leo wazanzibar tuyachome makanisa yaliyojengwa na ndugu zetu wa bara tulioungana nao tena na udugu wa damu...''ama kweli mbwa ukitaka kumuuwa mpe jina baya'' lakini mungu atawahukumu hawa wachoma makanisa na ukweli ataubainisha ujulikane hadharani ''kwani mwisho wa ubaya aibu''.......wanatuchimbia kisima wazanzibar ili wapate uhalali wa kutukandamiza na kutudhulumu DUNIA ikichekelea kama ingekuwa si mapenzi yangu kwa watanganyika wa kawaida ningeomba hilo wanalotuletea viongizi wenu mungu aligeuzie tanganyika mpambane wenye kwa wenye ili ile shari waiyonje vingozi mafisadi wafitinishaji ,wazushi hawa, lakini hapana lisitokee hilo bara wala visiwani.
tunaipenda zanzibar kuliko roho zetu
tutaipigania zanzibar tutamuangamiza adui yetu
kila alie mwezetu aungane nasi tuilinde nchi yetu
zanzibar daima ndio fahari yetu
karibuni ndugu zetu
''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''