..Akina Rais Mstaafu,Mwinyi na wenzake wanaopigania Muungano kwa sababu bila ya Muungano, watabakije hapa Bara maana ndio wameshafika hawa, ata mpango wa kurudi Unguja hana?pia wanaangalia maslahi yao ya nafasi zao walizoshika kwenye Muungano yatakuwaje?je hawa watoto wao wanaotegemea kubebwa na Wabara ili waje kuchukua madaraka kwenye serikali ya Muungano au ya Zanzibar mustakabari wao kisiasa utakuwaje?hawa hofu yao ni maslahi yao tu binafsi, waacheni wapiganie mlo na uroho wao..
...Lakini nyie Wazanzibar wa kawaida, msio na maslahi binafsi kama hao wenzenu,msidanyike, ebu songeni mbele kulirudisha taifa lenu lililoingizwa kwenye Muungano kwa mslahi binafsi ya watu wachache sana,kura ya maoni kuhusu Muungano ni ya lazima, nitafurahi kuliona taifa jipya la Afrika baada ya Sudani Kusini very soon...
...Wazanzibar songeni mbele, Uamsho ongezeni kampeni hiyo, LAKINI please, kuchoma makanisa ni kudhohofisha hoja yenu ya msingi, naamini wanaochoma sio Uamsho wa kweli,bali ni mapandikizi tu wanaotaka Uamsho waonekane watu wa hovyohovyo, kama wachomaji hao wangekuwa wanachoma kwa sababu ya kudai Zanzibar kujitenga ni wazi kuwa wangechoma moto ofisi au alama zilizoko Zanzibar zinazoashiria uwepo wa Muungano, go Uamsho go...