Mabloo Twitter kuna madem wakali

Mabloo Twitter kuna madem wakali

Ukilizwa njoo na uzi "madem wa twitter miyeyusho kabisa"
 
Twitter ya saiv ni ushubwada wengi n madume Ila I'd n za kike, sasa jichanganyeni mtakuja kukutana na pipi kijiti huku ultegemea ukute JoJo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu n yule Jamaa wa MABLOO wa kule Jamhuri ya Kidemokrasia ya Twiter[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]bado mnajadili Uzi wake JF ndo kila kitu Yan n kama maji usipoogea utayanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom