Mabloo Twitter kuna madem wakali

Mabloo Twitter kuna madem wakali

Relax.

Mademu wengi Twitter ni "wanaume" tunawaita ma-parody.

Usirukie mtu Twitter, unless unamfahamu na mmeonana. Kuna matapeli pia...wapk wanaoandikiwa, wapo wanao-copy twits za wazungu na kuzirusha kama zao.

Tunajuana english zetu, so ukiona mtu kanyoosha sana twit yake, i-copy nenda kwenye 'tafuta' (search) i-paste hapo ndo utaelewa.

Kuna mabloo na wana huwa nawatazama tu na wana followers wengi lakini kila kitu ni copy and paste.



Sent using Jamii Forums mobile app
Twitter na zanga langu la parody account lina kama 35k bado wajuba hawaja lisanukia... Sema siombi hela ya nauli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kuna siku wajuba walitaka niji verify kama mm siyo parody nikawaambia wait, nilitafuta demu wangu nikamrekodi video fupi then nikaiweka PIN Post so nikawa nimemaliza game....
 
Mabloo wote wa jf

Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter

1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka

2. Madem wazur wengi wapo Twitter

3. Madem wakishua wengi wako Twitter

4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter

5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa

6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla

7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother

8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000

9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali

10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia

11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida

12. Wanatumia iPhone na Samsung


Mabloo msikurupuke mkija Twitter



Save a brother
Una uelewa wowote kuhusu parody ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twitter na zanga langu la parody account lina kama 35k bado wajuba hawaja lisanukia... Sema siombi hela ya nauli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kuna siku wajuba walitaka niji verify kama mm siyo parody nikawaambia wait, nilitafuta demu wangu nikamrekodi video fupi then nikaiweka PIN Post so nikawa nimemaliza game....
Kwahiyo mpwa huwa ukitongozwa unaombaga nauli?
 

Attachments

  • IMG_20200427_220932.jpg
    IMG_20200427_220932.jpg
    30.3 KB · Views: 3
  • IMG_20200427_220918.jpg
    IMG_20200427_220918.jpg
    61.7 KB · Views: 3
  • IMG_20200427_220905.jpg
    IMG_20200427_220905.jpg
    80.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom