Mabloo Twitter kuna madem wakali

Mabloo Twitter kuna madem wakali

Twitter ukitweet tu pale chini inaandika unatumia simu gani Sasa hapo huwez kumpata dem anaetumia I phone wakat we unatumia tecno kwanza ukimtongoza tu kabla hajakujibu anakuangalia aina ya simu unayo tumia alaf anakuthaminisha

Sent using Gun Trigger
Sasa huyo anatofauti gani na gold digger mkuu?
 
Nadhani mtoa mada haujui vizuri mtandao wa twitter. Ni mtandao ambao huna uhakika mtu unaemuendea DM ni mwananume au mwanamke!

Ni mtandao ambao wengi wanaingia kwa kutumia ID ya kike ili kupata more followers kwa maana wanaume wa twitter ni rahisi kumfollow mwanamke kuliko mwanaume.

Twitter unaweza ukawa una followers 1500 then ukapost kitu ukapata 2 likes. Hata hao mabloo wenye followers kuanzia 50k wakipost kitu sana sana wanaambulia likes 300 hadi 600. So ni mtandao flani mgumu. Then unatakiwa uwe na content la sivyo utakuwa msomaji tu wa post za watu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Faida za like twitter ni zipi mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom