Kweli kabisa hujakosea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Village version wewe huwez kunielewa.watoto wa mjini wamenielewa

njoo pm nikuelekeze vzr nina kadudu ka kujifunzia for u only
Hi ni misitari ya wimbo?!? Inawezekana unajiandaa kutoa singleMabloo wote wa jf
Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter
1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka
2. Madem wazur wengi wapo Twitter
3. Madem wakishua wengi wako Twitter
4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter
5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa
6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla
7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother
8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000
9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali
10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia
11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida
12. Wanatumia iPhone na Samsung
Mabloo msikurupuke mkija Twitter
Save a brother
Mabloo wote wa jf

hivyo ndivyi ulivyo aliimba rose muhandokasuudsn jwisgenc jwisjcj jwjzjxjecih uwbshfabwi yahaixjsjs jsnxuxk.
I hope umepima akili yangu au mods mnasemaje???
umekubali kuitwa single mother?????hivyo ndivyi ulivyo aliimba rose muhando
siku nyingine usitukane ukunga na uzazi ungalipo
Sent using Jamii Forums mobile app
nikazuri tu maana unako kenzake
Nilipo kuja kufuatulia kwa kina nilichokuja kugundua hao jamaa wanatafuta kiki sana maana screen shot zao huwa kuna Wana members wanazipost sehemu zingine za mitandao yetu kuwa vuta watu kuja Twitter zaidi na zaidi maana ukiwa na followersviews kuanzia 1k ni moja ya mchongo town wa kutangaza makampuni bidhaa zao au huduma zao na kulipwa mkwanja cash au mkataba hichi kitu nilikuwa naomba Maxence Melokuna watu washenzi aisee walilia kwa uchungu wakapost hadi gari ya msiba sina hamu🏃♂️🏃♂️
Sasa single mother unampeleka wap??Ko madem wa humu hadh yao n
Gest za 15k
stidy
Relax.
Mademu wengi Twitter ni "wanaume" tunawaita ma-parody.
Kuna mabloo na wana huwa nawatazama tu na wana followers wengi lakini kila kitu ni copy and paste.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada nao waende wapi kupata wakak handsomeMabloo wote wa jf
Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter
1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka
2. Madem wazur wengi wapo Twitter
3. Madem wakishua wengi wako Twitter
4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter
5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa
6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla
7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother
8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000
9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali
10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia
11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida
12. Wanatumia iPhone na Samsung
Mabloo msikurupuke mkija Twitter
Save a brother
Tangazo tumeliona ila hatutamfollowKuna dada anaitwa manaal Mohamed sijui msomali Yule daah Mimi meenzenu nimeoza kwake
Sent using Jamii Forums mobile app