ALEX_ANDER
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 570
- 823
Village version wewe huwez kunielewa.watoto wa mjini wamenielewa

duuhAlexander The Great
Village version wewe huwez kunielewa.watoto wa mjini wamenielewa

duuhKama hujui mademu kama hao wanawapenda Maskini Jeuri!Mabloo wote wa jf
Huu ni uchunguz mdogo nilioufanya kule Twitter
1. Madem wanaotumia Twitter wengi ni wenye elim ya kueleweka
2. Madem wazur wengi wapo Twitter
3. Madem wakishua wengi wako Twitter
4. Madem wajanja na walioruka ruka ng'ambo wako twitter
5. Madem wengi hawafanyi kazi serikalini wengi wao ni kwenye ngo's na taasis za kimataifa
6. Madem wa Twitter wanafuatilia sana ligi za ulaya na mpira kwa ujumla
7. Madem wa Twitter wachache sana ambao ni single mother
8. Madem wa Twitter sio wa kuwapeleka Lodge za 15000
9. Madem waliopo Twitter wengi wanafanya kazi za ofisin wameajiriwa sio zile za kuuza maduka au kuuza shughuli za ujasiriamali
10. Kama uwezo wako ni mdogo Twitter hutaiweza kuitumia
11. Kudate na mdada ambaye ni meneja tawi flani ofisi flan ni kawaida
12. Wanatumia iPhone na Samsung
Mabloo msikurupuke mkija Twitter
Save a brother
Mfano anayejiita Glory Mindemkuu usipagawe sana nyingine ni parody mle
wako jamaa walitengeneza parody la demu mkali baadae yule dem ikasemekana kafa
na watu wakachanga pesa za rambirambi wakapiga pesa, wajinga ndo waliwao, masanja mkandamizaji anajua muulize
usiingie kichwa kichwa mkuu waweza kuona account ya demu mkali kumbe mwanaume

Kwakwel Kila mbuz anakula urefu




Hawezi kuelewa! Muache atume naulimkuu usipagawe sana nyingine ni parody mle
wako jamaa walitengeneza parody la demu mkali baadae yule dem ikasemekana kafa
na watu wakachanga pesa za rambirambi wakapiga pesa, wajinga ndo waliwao, masanja mkandamizaji anajua muulize
usiingie kichwa kichwa mkuu waweza kuona account ya demu mkali kumbe mwanaume
Hawezi kuelewa! Muache atume nauli



dada tumuambie ukweli au tusubiri afilisike kwanzadada tumuambie ukweli au tusubiri afilisike kwanza






Jf...... ni zaidi ya huko kote
😂😂
Twitter anaitwa rais ila kiuhalisia bado anaishi kwa Mama yake.Kalibuni Serikali ya Wapwa, tumepata Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu na Baraza zima la MawaziriView attachment 1432188
Hehehehe bloo kule mambo yenteDogo una akili sana, huo mtandao nilikuwa nauchukulia poa, ngoja nijiunge leo.